CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Mshirika mwenzake wa mauaji kashahukumiwa kunyongwa hadi kufa, bado yeye tu lazima ale kitanzi
Bwana anasema mwaka huu hakuna uchaguzi , walazimishao wataenda kujua kama Mungu na kaka zao ,Mama zao, mjomba wao au Dada yao ,sikuanza lisema hili leo .Hiyo Inawezekana tu kama NCHIMBI hatakuwa mgombea mwenza!
Makonda hawezi kuwa waziri mkuu na NCHIMBI akiwa makamu wa Rais iwapo kutakuwa na uchaguzi!!
Hata kama Samia atakuwa na mapenzi hayo kwa Makonda lazima atapingwa!!!
Hahaha. Akiwa PM atasumbua sana. Hajawahi kuwa na busara hata nukta.Akiwa kweli natabiri uzi wako utapaa sana
Labda mama akitoka madarakaniMshirika mwenzake wa mauaji kashahukumiwa kunyongwa hadi kufa, bado yeye tu lazima ale kitanzi
Simjui bwasheeHahaha. Akiwa PM atasumbua sana. Hajawahi kuwa na busara hata nukta.
mama mwenyewe ana vimeo kibao vinamsubiriLabda mama akitoka madarakani
Sasa mpaka tujue mwenye kifua kipana silitakua ni jambo zito bwashee ? Wewe umejuaje mkali 🤔Mwenye kifua kipana ndio Waziri Mkuu
Kuna siku mama yake mkwe alikiri mkwe wake ana kifua kipanaSasa mpaka tujue mwenye kifua kipana silitakua ni jambo zito bwashee ? Wewe umejuaje mkali 🤔
Yesuuu😛Kuna siku mama yake mkwe alisema mkwe wake ana kifua kipana
Naona kikawaida wengi huhudumu miaka 10 tuKwani huyu aliyepo sasa amezidiwa nini na huyo Makonda.
Hata kabla ballot paper hazijachapishwa tayari mmepata mshindi! ama kweli NRNE ina mashikoHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Na hili ndo misingi ya umaskini wetu.Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Katiba haijazuia kuhudumu kwa zaidi ya miaka hiyo ingawa Nyerere alihudumu na ma PM wanne, Mwinyi watatu, Mkapa mmoja na Kikwete wawili.Naona kikawaida wengi huhudumu miaka 10 tu
Safari hii tunataka Mhe. Waziri Mkuu mwenye elimu ya PhD ambaye akiitwa mahali popote anaweza kutoa muhadhara bila tatizo lolote iwe kwa kiingereza au kiswahili.
Alijuaje? Aliambiwa na binti yake? Kifua cha mkwewe kinamuhusu nini huyu bibi?Kuna siku mama yake mkwe alikiri mkwe wake ana kifua kipana