PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Makonda na Samia siasa zao ni incompatible...hawawezi kwenda in the same boat...watafukuzana saa kumi ni mbali.

Samia hataki ufanye kazi under cameras regardless una-perform vizuri ..........
Samia na makonda, both ni waraibu wa sifa......Hata waziri afanye vizuri sifa afikishiwe Yeye kwanza.......

Makonda alihudumu uenezi CCM,
Kwa style ya Magufuli ya kutatua kero za wananchi hapohapo akiongozana na viongozi....
Akajaza watu kwny mikutano yake, aka-trend sana kwenye social media, akaanza kumiminiwa sifa.......kwa maana nyingine alipunguza sifa binafsi za Mama.....akaondolewa.
 
Kwani kutoa hotuba nzuri mpaka PhD?
Kwa wakati huu Tanzania inahitajika kuwa na viongozi wasomi sio watu wa elimu ya kuunga unga tena ya ngumbaru!!
Ccm ndio wanaologa nchi hii kwa kuthamini uchawa kwa wanachama wao na sio elimu!!
Mtawaingiza wakina Harmonize kuwa wabunge watasaidia nini nchi? Mfano si huo wa Babu Tale amefanya nini cha maana toka kaingia bungeni? Ccm hapana kuinajisi nchi!
 
Nakubaliana na hoja ya kuwaepuka type ya harmonize na Babu tale, ila PhD sio lazima. Wapo wasomi wazuri wenye degree.
 
Nakubaliana na hoja ya kuwaepuka type ya harmonize na Babu tale, ila PhD sio lazima. Wapo wasomi wazuri wenye degree.
Kuwa kiongozi bora elimu kiwango cha shahada kwa wakati huu wa Dunia ya AI ni lazima tusijidanganye!
PhD sio lazima ingawa akipatikana mmoja mwenye uzalendo na hekima ni bora zaidi.
 
Viongozi hawaandaliwi boss.
Wanajiadaaa kwa kushinda na kutatua Mitihani, Changamoto za Jamii, Sio maneno na drama za kina Makonda.
Hao mods, wamebadili heading. Mimi niliandika NATABIRI MAKONDA ATAKUA PM.

Wao wameandika ANAANDALIWA?
 
Back
Top Bottom