Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
The guy is very smart...
Uchawa wa kileo ni mwingi,ana drama za hapa na pale pia ref "kutolewa jalalani" hili kwangu naona alijifedhehesha mno.Tatizo ni kwamba watakubaliana kumpitisha mzee Kabudi kuwa mgombea nchi?! Yuko smart sana yule mzee na wachache naona wameliona hili ila wanamuonea kijicho… sidhani kama alistahili kupewa wizara ile anayoihudumu sasa….,
HEWALA!… maana wahusika ndo wanajua zaidi
Fuatilia,wengi kwa nchi yetu huchongewa njia.Viongozi hawaandaliwi boss.
Wanajiadaaa kwa kushinda na kutatua Mitihani, Changamoto za Jamii, Sio maneno na drama za kina Makonda.
Intelligents wote wako hivyo hivyo kama ulivyosema 👍I think so. But my friends thinks I'm intelligent and stupid at the same time.
Mmmmh ! Ngoja Tusubiri tuone 😳 !Hiyo Inawezekana tu kama NCHIMBI hatakuwa mgombea mwenza!
Makonda hawezi kuwa waziri mkuu na NCHIMBI akiwa makamu wa Rais iwapo kutakuwa na uchaguzi!!
Hata kama Samia atakuwa na mapenzi hayo kwa Makonda lazima atapingwa!!!
Fuatilia,wengi kwa nchi yetu huchongewa njia.
Kwa mara ya kwanza naungana na wewe kwa maoni yako haya ya kutukuka kabisaAcha dharau
Yawezekana ! Na wala sio ajabu !Waziri mkuu ajaye piga ua ni dotto mashaka biteko niaminini mimi!.
Labda waziri mkuu wa familia yake, uyo jamaa yenu hana sifa za uongozi ni vile hii nchi ujinga na uchama ni mwingiHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Bashite atakuwa waziri mkuu kwenye familia yako tuHuyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Kama Jiwe alikuwa Raisi.mtu kama Bashite kuwa waziri mkuu inawezekana kwa nchi yetuNaunga mkono hoja.
Kuna baadhi ya mawaziri wakuu waliopita kama akina mzee Kawawa , Sokoine, Malecela, Sumaye, Lowasa na Pinda ambao hawakuwa na elimu kubwa kihivyo ambayo Makonda hana.
Naona haina haina shida alipewa hiyo nafasi ya kuwatumikia wananchi.
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Nchi si itakuwa ni mwendo wa vituko na maigizo Sasa 😁😁Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
Watu walivyotekwa na kuporwa mali zao pamoja na ufisadi wake bado huoni kitu kilichoharibika? Japo kwenda au kutokwenda nchi ya Ulaya siyo sababu ya hayoMagufuli akiwa Rais hakuwahi kwenda nchi yoyote ya Ulaya wala Amerika. Kuna chochote kilichoharibika ?
ar