PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usimkuze sana huyo dogo watapita naye huku wanamchekea....unwafahamu wahuni lakini hawana simile...ohoo
 
Sawa tumekusoma Lucas Mwashambwa
 
Na huu mchongo anasimamia mzee wa msoga alafu mafisadi yapate tumbo joto si ndio!
 
Acha mahaba ya kilofa, kwa awe PM na waziri TAMISEMI at the same time? Kwa lipi alilolifanya? Arusha kafanya nini, kaiacha alivyoikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…