Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Alizushiwa au alijizushia? Ni kwa nini UJIMA unaonekana kushamiri sana hapa kwetu? What's wrong?Ili kuwapa taarifa wale waliomzushia mabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alizushiwa au alijizushia? Ni kwa nini UJIMA unaonekana kushamiri sana hapa kwetu? What's wrong?Ili kuwapa taarifa wale waliomzushia mabaya
Mkuu, mbona unajibu kwa hasira na makasiriko kiasi hicho? wapi nimemtaja Lisu? Kwamba nchi hii ni lazima tuwaone hao wanasiasa ndio wanajua sana? au hatuna nafasi ya kutumia akili zetu nje ya itikadi za hivyo vyama vyenu uchwara vya kisiasa? Haya maisha kwa wengine tunakosa muda wa kuwapa hao binadamu nafasi kwenye akili zetu, tunawashangaa tu mnavyoparurana. Ukiwaweka Makonda na Nape, bado Nape ana akili kubwa.Acha kuendeshwa na chuki! Hao akina Lisu mnaodai wana akili kubwa wameleta impact gani hapa Bongo!
Mnapenda kujivika akilo kubwa lakini you have nothing to offer!
Makonda yupo na ataendelea kuwepo kwa mapenzi ya Mungu!
Amekaa kwake Igoma kwa Masista zaidi wiki. Jioni akionekana anatoka kwenda kutembea na kurudi. Mara ya mwisho, yaani juzi tu hapa alitoka na mamaake sie tunaona tu. Ndio maana sikuchangiaga chochote kuhusu sijui sumu, sijui nini!😁😁😁waliosema amefariki wana hali gani
Neno iliyojaa unaelewa maana yake mkuu? Mimi siwezi kuwemo kwani namuona ni kilaza aliyefanikiwa kuwateka mabumbumbumbu. Kama Nabii Dominik (kiboko ya wachawi) alivyoweza kuwateka wale wafuasi wake.Nawewe included
Utawala bora maana yake nini?Makonda utawala bora? Sijaelewa
Wao wanasema yule ni musura wake (his double).Amekaa kwake Igoma kwa Masista zaidi wiki. Jioni akionekana anatoka kwenda kutembea na kurudi. Mara ya mwisho, yaani juzi tu hapa alitoka na mamaake sie tunaona tu. Ndio maana sikuchangiaga chochote kuhusu sijui sumu, sijui nini!
Tanzania hatujafikia hapo. Hata hivyo, using doubles inafanywa sana na nchi ya Urusi chini ya Putin na zamani China chini ya Chairman Mao.Wao wanasema yule ni musura wake (his double).
Ukimuona unajua kuwa jamaa alikua mgonjwa amepungua na amekonda kweli hata sura na ngozi inaonekana.
BAADA ya ukimya wa zaidi ya siku 33, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amerejea katika kituo chake cha kazi leo tarehe 16 Agosti na kumaliza minong’ono iliyokuwa imeenea mitaani juu ya alipo kiongozi huyo machachari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea).
Makonda ambaye anafuatiliwa na Watanzania wengi kutokana na matendo na utendaji wake wenye utata, hapo awali iliripotiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu kwamba amekwenda likizo na kukaimisha majukumu yake kwake.
Hata hivyo, minong’ono ilizidi zaidi baada ya watu kuhoji uhalali wa likizo hiyo hasa ikizingatiwa alianza kuitumia nafasi hiyo ya mkuu wa mkoa tarehe 31 Machi mwaka huu, muda ambao kwa taratibu za likizo serikalini, hakuwa ametimiza muda wa miezi nane kazini.
Ukimya wake ulizidi kuibua mjadala huku baadhi ya watu wakihoji kuhusu afya yake baada ya kuibuka madai katika mitandao ya kijamii kwamba yupo nje ya nchi anatibiwa baada kunywesha sumu jambo ambalo hata hivyo hakuna kiongozi wa serikali aliyewahi kulizungumzia.
Leo Ijumaa mkuu huyo wa mkoa wa Arusha, amemaliza minong’ono hiyo baada ya kutua mkoani humo na kufanya ukaguzi wa jengo jipya la Uwanja wa ndege wa Kisongo jijini Arusha.
Hayo yanakuhusu wewe na Bumunda wako Nape!Mkuu, mbona unajibu kwa hasira na makasiriko kiasi hicho? wapi nimemtaja Lisu? Kwamba nchi hii ni lazima tuwaone hao wanasiasa ndio wanajua sana? au hatuna nafasi ya kutumia akili zetu nje ya itikadi za hivyo vyama vyenu uchwara vya kisiasa? Haya maisha kwa wengine tunakosa muda wa kuwapa hao binadamu nafasi kwenye akili zetu, tunawashangaa tu mnavyoparurana. Ukiwaweka Makonda na Nape, bado Nape ana akili kubwa.
The dude who messes around with Rob amster 😏Who's she...🤔
Hilo niliwahi kulishuhudia mkuu.Ni kitu kibaya sana kuombea wenzako kifo, kama vile wewe una guarantee yoyote. Unamuombea mwenzako afe, then wewe unakufa kabla yake.
Updates...
Kumepita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda lakini leo Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda alipotembelea Uwanja wa Ndege wa Mkoa Arusha na kukagua Ujenzi huo unaondelea kutekelezwa leo Agosti 16, 2024 ameeleza chanzo cha utanuzi wa Uwanja huo.
RC Makonda amelezea kuwa itakuwa chanzo cha utanuzi kwa Uwanja huo wa ndege ni kuongeza kundi kubwa la Watalii wanaoingia nchini kupitia mkoa wa Arusha kwa uwepo wa vivutio mbalimbali vya utalii ambapo itaongeza Uchumi kwa taifa letu na kujitangaza zaidi kupitia utalii.
RC Makonda ameeleza zaidi kuwa ifikapo Septemba Mosi Uwanja kuanza kutumika kuanzia Septemba mosi, 2024 ambapo idadi ya watalii inakadiriwa kuongezeka zaidi.
Mkandarasi
Moja ya Miradi ambayo itafanyika katika uwanja huyo wa ndege ni kufunga taa za kuongozea Ndege kwa sababu uwanja wa ndege uwe kufanya kazi masaa 24.
"Tumeshapata Mkandarasi tayari na tumeshamkabidhi na sasa yupo katika hatua ya kufanya usanifu wa mfumo wenyewe".
"Lakini tatizo ambalo tunalo ni hile ardhi ya kufunga hizo taa za aproch ya kutua ndege, kwa sababu kiwanja chetu kutoka pale mwisho tuna mita 200 na lakini tunahitaji mita 500".
Soma Pia: Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake