Paul Makonda arejea, aibukia Uwanja wa Ndege Arusha uliopo eneo la Kisongo

Acha kuendeshwa na chuki! Hao akina Lisu mnaodai wana akili kubwa wameleta impact gani hapa Bongo!
Mnapenda kujivika akilo kubwa lakini you have nothing to offer!
Makonda yupo na ataendelea kuwepo kwa mapenzi ya Mungu!
Mkuu, mbona unajibu kwa hasira na makasiriko kiasi hicho? wapi nimemtaja Lisu? Kwamba nchi hii ni lazima tuwaone hao wanasiasa ndio wanajua sana? au hatuna nafasi ya kutumia akili zetu nje ya itikadi za hivyo vyama vyenu uchwara vya kisiasa? Haya maisha kwa wengine tunakosa muda wa kuwapa hao binadamu nafasi kwenye akili zetu, tunawashangaa tu mnavyoparurana. Ukiwaweka Makonda na Nape, bado Nape ana akili kubwa.
 
Nawewe included
Neno iliyojaa unaelewa maana yake mkuu? Mimi siwezi kuwemo kwani namuona ni kilaza aliyefanikiwa kuwateka mabumbumbumbu. Kama Nabii Dominik (kiboko ya wachawi) alivyoweza kuwateka wale wafuasi wake.
 
Nawashangaa sana watu wanavyomshambulia Hayati Magufuli, hawajui Magufuli amekufa kifo kizuri kuliko watu wengi wanavyokufa.

Amekufa anatengeneza na Mungu wake.

Hakuna jambo Bora zaidi ya Hilo.

Hakuna...

Hata Mimi namuomba Mungu anijalie mwisho wa kutengeza muda wangu unapoiosha...
 
Amekaa kwake Igoma kwa Masista zaidi wiki. Jioni akionekana anatoka kwenda kutembea na kurudi. Mara ya mwisho, yaani juzi tu hapa alitoka na mamaake sie tunaona tu. Ndio maana sikuchangiaga chochote kuhusu sijui sumu, sijui nini!
Wao wanasema yule ni musura wake (his double).
 
Ukimuona unajua kuwa jamaa alikua mgonjwa amepungua na amekonda kweli hata sura na ngozi inaonekana.
Hata Mangula alivyopigwa sumu hakukaa muda mrefu hospital..
 
Hayo yanakuhusu wewe na Bumunda wako Nape!
 
Ni kitu kibaya sana kuombea wenzako kifo, kama vile wewe una guarantee yoyote. Unamuombea mwenzako afe, then wewe unakufa kabla yake.
Hilo niliwahi kulishuhudia mkuu.

Jamaa yangu aliyekuwa anasorolea mgao wa mirathi toka kwa mgonjwa tena kwa kutamka kabisa: 'mi tachukua hiki', akafa yeye tukazika ndipo mgonjwa ukapita muda mrefu ndiyo akafuata baada ya miaka miwili.
 
Kuna uwezekano ni kweli alipewa sumu. Alivyovaa hilo sweta ni kama anaficha tumbo na hilo baggy jeans na kofia ni kama kuficha hali halisi ya mwonekano wake.
Cha ajabu hajatoa kauli yoyote kuhusu alikuwepo wapi mwezi mzima. Kufanya shughuli rasmi ya serikali amevaa kama anaenda kwa chali wake inaleta mashaka.
 
Yeye anajua kila kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…