Haya mambo yalianza na siasa chafu za mbowe na wenzake. Yaani waliishiwa hoja wakaanza kuwa wanasema mnaacha kuua kwa kuchoma moto mafisadi mnachoma moto wezi wa kuku, na kauli nyingine nyingi za kutweza utu. So hii hali wapinzani ndiyo wameasisi. Nadhani awamu ya 5 iliiua upinzani ili uzaliwe mwingine wenye ustaarabu. Naamini hata sasa upinzani ufe kabisa uanze mwingine hawa ni wajinga wajinga hawana akili za siasa