residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Na anayeua jee!!??Ni kitu kibaya sana kuombea wenzako kifo, kama vile wewe una guarantee yoyote. Unamuombea mwenzako afe, then wewe unakufa kabla yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na anayeua jee!!??Ni kitu kibaya sana kuombea wenzako kifo, kama vile wewe una guarantee yoyote. Unamuombea mwenzako afe, then wewe unakufa kabla yake.
Ushahidi unao?Na anayeua jee!!??
Haya mambo yalianza na siasa chafu za mbowe na wenzake. Yaani waliishiwa hoja wakaanza kuwa wanasema mnaacha kuua kwa kuchoma moto mafisadi mnachoma moto wezi wa kuku, na kauli nyingine nyingi za kutweza utu. So hii hali wapinzani ndiyo wameasisi. Nadhani awamu ya 5 iliiua upinzani ili uzaliwe mwingine wenye ustaarabu. Naamini hata sasa upinzani ufe kabisa uanze mwingine hawa ni wajinga wajinga hawana akili za siasaNi kitu kibaya sana kuombea wenzako kifo, kama vile wewe una guarantee yoyote. Unamuombea mwenzako afe, then wewe unakufa kabla yake.
Nimeuliza anayeua watu je yeye ni jambo zuri,wewe unasema ushahidi.Ushahidi unao?