Pre GE2025 Paul Makonda: Arusha hawakupata barabara kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanao muita zezeta muda mwingine wako sahihi kabisa anajiimbisha hizo taraabu alafu anajisahaulisha ni wao ccm mara zote wamekua wakisema hawawezi kupeleka maendeleo sehemu ambazo zilichagua wapinzani kwakua wao ndio wenye mamlaka, wanacho waza wao ni chama sio wananchi
 
Tuletee clip inayoonyesha Lema akionyeshe mkakati ya ujenzi wa barabara maenro husika?
 
Lema alikuwaga mbunge kwa miaka kumi kumbe hakuweza piga debe kuhusu barabara za hili jiji letu namba mbili hapa nchini?πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Lema ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya barabara/road fund?Na yule aliyesema wakichaguliwa wapinzani hapeleki maendeleo ulimzika na ujinga wake?
 
Ujinga ni mzigo jamani. Eti huyo naye kiongozi.
Mnachukua Kodi mnakula mnasingizia vitu non sense.
Je wapi huko pasipo na majungu penye bara bara nzuri Tanzania hii?
Mbona Kila mahali panafanana?
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kama tunataka kuendelea.
Tukiendelea na Hawa watu tusahau kupiga hatua.
 
πŸ˜„

Ova
 
Acha uchizi Mangi ,alipokuwa anaomba kura za ubunge aliahidi wanchi kitu gani ?kama sio kazi ya mmbunge kuwakilisha wanachi bungeni kwa niaba unadhani kazi ya ubunge ninkwenda kunywa chai ehe?

Umeelewa swali langu?. Mbunge asipoifatilia serikali kuhusu kujenga barabara serikali nayo haijengi hiyo barabara? Nani wa kulaumiwa hapo? Maana unadai Lema hakufuatilia ujenzi wa barabara, ndio nikauliza mbunge akipiga kimya serikali haifanyi chochote?
 
Dodoma hakuna jimbo hata moja la upinzani ila kuna miundombinu mibovu kupita maelezo same kwa ruvuma, lindi, na mikoa mingi
 
Kumbe shida ni chama?. Halafu mama yenu analia Kodi inaishia kwenye mifuko ya wajanja. Si aseme Kodi walipe CCM pekee yao. Punguzeni unafiki na ubaguzi kwenye mambo ya kitaifa.
Chama kinachoshika Dola ndio kinawapa utaratibu maana ndio kimepewa ridhaa so utake au usitake kutafuta huo utaratibu.

Wale waliochagua ambao hawawezi kuwaletea maendeleo imekula kwao.

Huwezi chagua Wapinzani wakati ukijua hawataunda Serikali ya kukuletea maendeleo utakuwa taahira
 
Basi tufute mfumo wa vyyama vingi
Mfumo wa Vyama vingi sio kuchagua watakaoshundwa Bali washindi.

Wakizingua mnawapa wengine vinginevyo kuchanganya huku Chadema kule Serikali ya CCM NJ kujinyoma maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…