econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kabisa Mkuu.Hata jiji la Mwanza wameamua kuachana kabisa na upuuzi
Upuuzi wa kukosa maji mwezi mzima?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu.Hata jiji la Mwanza wameamua kuachana kabisa na upuuzi
Unauhuru wa kuamini lema sio nabii mbona unatesekaKwa hiyo Lema ni nabii mandazi kama hawa walipo sio?
Tuletee clip inayoonyesha Lema akionyeshe mkakati ya ujenzi wa barabara maenro husika?Acha uchawa na upumbavu. Unaifahamu Ar vizuri?? Makao Mapya, Kaloleni, Unga Ltd Mwanama relini hayo ni mifano michache wakati wa Mh Lema.
Hapo anaongea na watu wazima wanaelewa malengo yake ni yepi na yuko Ar kwa kazi gani. Yeye ndiye mwenye majungu na siku zote mchawi ndiye wakwanza kufika msibani.
Alafu ziwa lipo mita chacheUpuuzi wa kukosa maji mwezi mzima?.
Kama hajengi Barabara, kwenye kampeni Huwa ananadi sera zipi?Ni wapi ambapo mbunge anatakiwa kujenga barabara? Hivi hata kazi za wabunge mnazijua ninyo?
Lazima niteseke kwa masikitiko kuwa mpuuzi kama Lema anao wafuasi .SADUnauhuru wa kuamini lema sio nabii mbona unateseka
Lema ndiye alikuwa mwenyekiti wa bodi ya barabara/road fund?Na yule aliyesema wakichaguliwa wapinzani hapeleki maendeleo ulimzika na ujinga wake?Lema alikuwaga mbunge kwa miaka kumi kumbe hakuweza piga debe kuhusu barabara za hili jiji letu namba mbili hapa nchini?🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kwenye kampeni Huwa mna nadi nini? Na mnatekeleza nini?Wabunge hawatekelezi ilani Bali serikali Kwa maana nyingine executive.
Ulishawahi ishi arusha sababu unabisha ujingaTuletee clip inayoonyesha Lema akionyeshe mukakati ya ujenzi wa barabara maenro husika?
Pelekeni shida zenu Chadema sio CCMchadema mkuu
😄Huyu mjinga hajui kuwa barabara bora ni haki ya kila mwananchi.
Si zawadi kwa anayejipendekeza kwa viongozi.
Mwaka 2015 Mahakama Kuu ya Bombay India ilitoa hukumu kwamba barabara nzuri zisizo na mashimo ni haki ya uraia kwa kila mtu.
Mwanzoni mwa karne ya 20 Marekani kulikuwa na "The Good Roads Initiative" iliyotaka kuunganisha sehemu zote za vijijini kwa barabara nzuri.
Yani Makonda bado hajafika wenzetu walipokuwa miaka 100 iliyopita.
Hizi kauli za Makonda ni za mtu ambaye hajaelimika, analimbuka bado.
Acha uchizi Mangi ,alipokuwa anaomba kura za ubunge aliahidi wanchi kitu gani ?kama sio kazi ya mmbunge kuwakilisha wanachi bungeni kwa niaba unadhani kazi ya ubunge ninkwenda kunywa chai ehe?
Basi tufute mfumo wa vyyama vingiKama mliyajua hayo hawatengenezi Bajeti mliwachagua wa nini? 😆😆
Mliwachagua Huwa wanatekeleza ilani ya chama gani?
Dodoma hakuna jimbo hata moja la upinzani ila kuna miundombinu mibovu kupita maelezo same kwa ruvuma, lindi, na mikoa mingiUjinga ni mzigo jamani. Eti huyo naye kiongozi.
Mnachukua Kodi mnakula mnasingizia vitu non sense.
Je wapi huko pasipo na majungu penye bara bara nzuri Tanzania hii?
Mbona Kila mahali panafanana?
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kama tunataka kuendelea.
Tukiendelea na Hawa watu tusahau kupiga hatua.
Chama kinachoshika Dola ndio kinawapa utaratibu maana ndio kimepewa ridhaa so utake au usitake kutafuta huo utaratibu.Kumbe shida ni chama?. Halafu mama yenu analia Kodi inaishia kwenye mifuko ya wajanja. Si aseme Kodi walipe CCM pekee yao. Punguzeni unafiki na ubaguzi kwenye mambo ya kitaifa.
Kwa hiyo Lema ni nabii mandazi kama hawa walipo sio?
Pelekeni shida zenu Chadema sio CCM
Mfumo wa Vyama vingi sio kuchagua watakaoshundwa Bali washindi.Basi tufute mfumo wa vyyama vingi