Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemwambia double road ya kuanzia tengeru mpaka sakina imejengwa kipindi lema akiwa mbunge akaingia mitiniHayo maeneo tajwa yalijengwa wakati gani au nani akiwa Mbunge wa Jiji la Ar??
Umekurupuka kujibu hoja yangu.Mfumo wa Vyama vingi sio kuchagua watakaoshundwa Bali washindi.
Wakizingua mnawapa wengine vinginevyo kuchanganya huku Chadema kule Serikali ya CCM NJ kujinyoma maendeleo
Hakuna haja ya chama kimoja ila ni Vyama vingi,watakaoshunda ndio wataamua wapi Wapeleke pesa bila kujalisha wamezikusanya wapi maana wengi wape wachache watafanyiwa uungwana ila hawana maamuzi.
Unapochagua Wapinzani na huwezi shika Serikali umejitumbukiza shimoni ukisubiria huruma ya aliyeshika Dola ,ndio kanuni ya Demokrasia 😄😄
Maamuzi ya kujenga barabara ni ya Serikali, hivyo staki kuamini kuwa Serikali ilizuiwa na majungu kujenga hizo barabara.Wakuu,
Makonda ameendelea kutoa spana huko Arusha baada ya kusema kuwa wakazi wa mkoa wa Arusha kwa muda mrefu kwa sababu walikuwa wanaendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara.
Kauli hii inakuja baada ya Waziri wa TAMISEMI kufanya ziara mkoani hapo leo October 4.2024 na ndipo mkuu huyo wa mkoa alidokeza kuwa kwa sababu Arusha ilikuwa inaendekeza majungu na ushirikina pamoja na siasa uchwara kwa muda mrefu ndio maana barabara zimechelewa kujengwa.
"Na kwa kweli Arusha hawakupata barabara nyingi kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara. Yaani huko ndio walipokuwa wamebobe. Ni wazee wa shoti."
"Yaani unaweza ukawa umeomba kama hapa jambo tumeliomba kwako, tukichelewa anaweza akazunguka mtu uko ukashangaa barabara inaanza tena kubadilishwa badilishwa."
Huu ni muendelezo wa kauli tata na kandamizi kutoka kwa kauli hiyo ya mkuu wa mkoa!
Tuamimi kuwa lema ba wewe pia mtaishi milele?
Inasikitisha mtu mzima tena mfuasi wa chama kikuuu cha CCM ambaye haujui madhumuni ya mfumo wa Vyama Vingi Tanzania.Na je huu mfumo ulianzishwa na wananchi au Serikali?Mtu kukosa elimu ya Uraia na kujaza upumbavu kichwani hasara kwa kizazi cha leo na kijacho.Ukweli unauma
WAMERU NDIO ZAO HAO WASHAMBA SANA SHIDA HAWATEMBEI
Ujinga huo huo ndio ulitokea Kwa Sugu akiwa Mbeya.Hatutaki tena saizi tunatamba naTulia na SSH 👇👇
Unawekaje barabara kwenye mashamba ya mpunga,parachichi,viazi na ndizi!?Jiji la mbeya hakuna Barbara Wana majungu🤣
Tuletee clip inayoonyesha Lema akionyeshe mkakati ya ujenzi wa barabara maenro husika?
Kama Barabara zipi hizo nyingi? Mbeya wangekuwa wanaolalamika mavumbi?..Sugu anasema kipindi chake walijenga barabara nyingi kuliko kipindi cha watangulizi wake ambao walikuwa Ccm.
Kama hajengi Barabara, kwenye kampeni Huwa ananadi sera zipi?
Mfumo wa Vyama vingi ni kuja na sera mbadala,Kwa hapa Tanzania Wapinzani wamefeli vibaya.Inasikitisha mtu mzima tena mfuasi wa chama kikuuu cha CCM ambaye haujui madhumuni ya mfumo wa Vyama Vingi Tanzania.Na je huu mfumo ulianzishwa na wananchi au Serikali?Mtu kukosa elimu ya Uraia na kujaza upumbavu kichwani hasara kwa kizazi cha leo na kijacho.
Shinyanga na Geita ni majiji ya utalii!?....Geita ni halmashauri, shinyanga ni town council...ng'ombe na Mchele haihitaji barabara kihivyo🤣🤣Rome haikujengwa siku moja Mangi,jiji la Arusha limeanza kupiga hatua siku nyingi na hawa wenzetu pia watafika huko.Si umeona Iringa na Songea wako wapi ukilinganisha na miaka kumi iliyopita?
Wabunge wanajenga kutoka kwenye Serikali za Vyama Vyao ,Sasa hamna Serikali mnategemea nini? 😆😆Notajie mbunge mmoja wa CCM aliyejenga barabara kwa pesa zake Yani kilomita kuanzia 10. Kutoka kwenye mifuko wake.
Kwenye kampeni Huwa mna nadi nini? Na mnatekeleza nini?
Kama ni serikali,kazi ya Mbunge ni ipi?
hujaishi nao hao watu wanamambo ya kijinga sana kuzungukazunguka na kupinga miradi kama mabarambara wanatabia ya kuifuata wakati wa kutanua ili kumwaga lami wananza kuzungukazunguka wewe fikiria mtu anaotesha mgomba mpaka karibu na nguzo ya umeme hovyo sanaPunguza ukabila.
Wapinzani mkubwa wachache mtasimamia vipi uwajibikaji wa Serikali wakati hamna tool hiyo ambayo inawahitaji muwe wengi Ili mpate Nguvu ya maamuzi?Kazi ya mbunge ni kusimamia serikali kuhakikisha matatizo ya wananchi yaliyo Chini ya serikali yanatatuliwa. Kama maji, afya, barabara etc