econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wabunge wanajenga kutoka kwenye Serikali za Vyama Vyao ,Sasa hamna Serikali mnategemea nini? 😆😆
Kwa maana nyingine. CCM ndio inayojenga barabara na CCM hiyohiyo ndio inakusanya Kodi. So Rais alisema CCM ndio wanaiba makusanyo ya Kodi atakuwa sahihi.