zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Anaitwa DAB au Bashite Sifuri Zero (in Gwajiboi Voice)sawa ndugu Mako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa DAB au Bashite Sifuri Zero (in Gwajiboi Voice)sawa ndugu Mako
Avunje kwani alijenga yeye? Kwanza za zamani zinakuwa zimechakaa inahitajioa Mpya ndio hizo Sugu alishindwa Kwa sababu ali wrong number 😂😂Kwa hivyo alivunja barabara zilizokuwepo?. Yani wabunge wa miaka 50 wa CCM washindwe halafu lawama kwa Sugu kisa ni upinzani.
Sio kibagusi Bali Kwa Demokrasia ya chama kilichoshindaKwa maana nyingine maendeleo yanatolewa kibaguzi. Ndio unavysema na unaona ni fahari
Siku zote wajanja Huwa sio wengi na Wala hawaibi makusanyo mengi saaana.Unapigana na mwenyekiti wa CCM aliyesema makusanyo yanaingia kwenye mifuko ya wajanja?.
Ni hivi ukishakuwa mbunge unahaki sawa kwenye utekelezaji wa maendeleo Kama wabunge wengine. Ndio maana katiba inatambua status ya mbunge na sio chama chake.
Kwa nini isifanye hivyo? Kwani ikoje hata Sasa? Serikali ni ya chama na chama kikiona Serikali haifanyi sawa kinatoa Maelekezo wakibisha kinawatimua kwenye chama unapoteza nafasi ya kiserikali
Maamuzi ya kujenga barabara ni ya Serikali, hivyo staki kuamini kuwa Serikali ilizuiwa na majungu kujenga
Kinachoshangaza ni wana ccm kuwa wa kulialia kwenye majukwaa. Wakati kuanzia serikali ya kitongoji/mitaa mpaka serikali kuu ni yao nchi nzima. Tukiwaambia mmeishiwa maarifa na uwezo wa kuongoza serikali mnakimbilia kuteka na kupoteza wanaowaeleza ukweli.CCM inaunda Serikali na kuwasimamia Watumishi.
Avunje kwani alijenga yeye? Kwanza za zamani zinakuwa zimechakaa inahitajioa Mpya ndio hizo Sugu alishindwa Kwa sababu ali wrong number 😂😂
Uchawa ndio nini? Sasa itajihusisha vipi wakati ilikataliwa? Waliopewa dhamana za Kisasa watekeleze ahadi zao Sasa 😆😆Aiseeh! Uchama umekufunika macho huoni mbele. Yani serikali iliona Bora wananchi wabaki na barabara mbovu kisa mbunge ni Sugu. Aiseeh unafurahisha sana
Wanalia au wanaikumbusha Serikali wajibu wake ?Kinachoshangaza ni wana ccm kuwa wa kulialia kwenye majukwaa. Wakati kuanzia serikali ya kitongoji/mitaa mpaka serikali kuu ni yao nchi nzima. Tukiwaambia mmeishiwa maarifa na uwezo wa kuongoza serikali mnakimbilia kuteka na kupoteza wanaowaeleza ukweli.
Ndio maana nasema ni siasa za kishamba. Kama kuwa hicho chama cha wazee ndio unapata barabara nzuri, huko vijijini ambako ni ccm kwa lazima mbona ndio umasikini umeshika kasi? Bado mna siasa hizo za kishamba?Sio kujipendekeza Bali lazima uwe kwenye chama husika vinginevyo utapata tabu sana kama sio Kutengwa kabisa
Chama Cha kijnja kiliparalyse maendeleo ya Arusha na kuigeuza kambi ya intarahamwe Kila siku maandamano.Ndio maana nasema ni siasa za kishamba. Kama kuwa hicho chama cha wazee ndio unapata barabara nzuri, huko vijijini ambako ni ccm kwa lazima mbona ndio umasikini umeshika kasi? Bado mna siasa hizo za kishamba?
Mfumo wa Vyama vingi ni kuja na sera mbadala,Kwa hapa Tanzania Wapinzani wamefeli vibaya.
Chama chako kina sera zipi mbadala kwenye Kilimo?
Wanaolia ni hao hao wenye serikali. Mkiambiwa mna macho lkn hamuoni mna masikio lkn hamsikii mna elimu lkn bado hirizi hamuachi kuzivaa. Nchi imepigwa upofu kutokana na unafiki wa watendaji wakuu wa serikali. Ina maana bila Waziri kufika maeneo fulani kutoa ahadi ya ujenzi wa barabara basi tena?? Serikali haina mipango kupitia mabaraza ya halmashauri??Wanalia au wanaikumbusha Serikali wajibu wake ?
Chama Cha kijnja kiliparalyse maendeleo ya Arusha na kuigeuza kambi ya intarahamwe Kila siku maandamano.
Saizi si unaona imetulia tuliii
Hata hitler aliweza shawishi wajinga mkuuIla wakafanikiwa kushawishi wananchi kuwachagua kuwa wabunge, Tena upinzani
Mnazidi kuthibitisha kuwa tuna serikali ya ovyo sana. Yaani serikali haina mipango mikakati ya maendeleo inayobainisha uwekezaji unaohitajika kuimarisha vyanzo vikuu vya mapato ya nchi?Ujinga huo huo ndio ulitokea Kwa Sugu akiwa Mbeya.Hatutaki tena saizi tunatamba naTulia na SSH 👇👇
Mbona unakuwa kama mtu asiye na uelewa kabisa? Vipi?Wabunge mbaochagua Ili wakatekeleze ilani za chama gani?
Wakapeleke shida zenu Kwa Mawaziri wa Chama gani?
Kwani walikuwa hawalipi kodi? Viongozi waliokuwepo wa Serikali walitekeleza miradi ipi?Wakuu,
Makonda ameendelea kutoa spana huko Arusha baada ya kusema kuwa wakazi wa mkoa wa Arusha kwa muda mrefu kwa sababu walikuwa wanaendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara.
Kauli hii inakuja baada ya Waziri wa TAMISEMI kufanya ziara mkoani hapo leo October 4.2024 na ndipo mkuu huyo wa mkoa alidokeza kuwa kwa sababu Arusha ilikuwa inaendekeza majungu na ushirikina pamoja na siasa uchwara kwa muda mrefu ndio maana barabara zimechelewa kujengwa.
"Na kwa kweli Arusha hawakupata barabara nyingi kwa muda mrefu kwa sababu waliendekeza majungu, ushirikina na siasa uchwara. Yaani huko ndio walipokuwa wamebobe. Ni wazee wa shoti."
"Yaani unaweza ukawa umeomba kama hapa jambo tumeliomba kwako, tukichelewa anaweza akazunguka mtu uko ukashangaa barabara inaanza tena kubadilishwa badilishwa."
Huu ni muendelezo wa kauli tata na kandamizi kutoka kwa kauli hiyo ya mkuu wa mkoa!