Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

dadi iz kamin

Aliyoyafanya makonda hadi kufikia dar es salaam ikawa ilivyo sasa czani km hastaili kuwa mshindi ktk mchakato huu.

Ndugulile kipindi cha covid-19 alitaka tufe km siyo ujasiri wa Mh Rais

Najua ndugulile kawateka wajumbe wengi kiushabiki.

Ila busala za wilaya na mkoa na taifa kwa ujumla ndio zitatoa mstakabari mzima.
 
Aliyoyafanya makonda hadi kufikia Dar es Salaam ikawa ilivyo sasa czani km hastaili kuwa mshindi ktk mchakato huu.

Ndugulile kipindi cha covid-19 alitaka tufe kama sio ujasiri wa Mh Rais

Najua ndugulile kawateka wajumbe wengi kiushabiki.

Ila busala za wilaya na mkoa na taifa kwa ujumla ndio zitatoa mstakabari mzima.

Kiuhalisia Wanakigamboni wangepata matunda mengi Kama wangemchagua makonda kuliko ndugulile, kwakuwa Ni mfatiliaji mzuri na annaconnection kubwa na vigogo, japokuwa anamapungufu mengi Ila bado Ni mchapa kazi.

Pia Kura hizi rushwa huwa zinatembea Sana, Kama huko mollel alianza kuwapa rushwa wajumbe kitambo Sana kabla hata ya mchakato.
 
Huyu huwa ni zaidi ya ziro kichwani. Sasa hapa kawashukuru kwa lipi? au yeye hajui kushinda ni kupi na kushindwa ni kupi. Ndo maana ilimlazimu kugushi vyeti kwasababu hajui maana ya ushindi.
 
Kiuhalisia wanakigamboni wangepata matunda mengi Kama wangemchagua makonda kuliko ndugulile, kwakuwa Ni mfatiliaji mzuri na annaconnection kubwa na vigogo, japokuwa anamapungufu mengi Ila bado Ni mchapa kazi.
Pia Kura hizi rushwa huwa zinatembea Sana, Kama huko mollel alianza kuwapa rushwa wajumbe kitambo Sana kabla hata ya mchakato.

CCM bado hawajaweka usawa ktk hii michakato ya kura za maoni.

Unajua unapokuwa kakikundi eti ka kamati ya siasa ni rahisi sana kukafanyia robbing.

Hii ilitakiwa kila kijiji wanachama wte wa ccm wapige kura.

Ikiwa hivyo itakuwa ngum sana mgombea kuwahonga wanachama wte kila kijiji ktk jimbo lote. Hata km amepewa mafao hawezi kuwahonga wte.

Lakini hii stail nirahisi sana kuaanda kikundi chako kuanzi kipindi cha wagombea kura za ujumbe wa kamati za siasa kijiji.

Naamini wengi walopita hasa wabunge walomaliza mda wao %kubwa walitembeza njugu be4.
 
Back
Top Bottom