Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Uchaguzi 2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

Paul Makonda amesema haya....

“Nimepata pole nyingi sana kutokana na matokeo ya jana, kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na maombi yenu ya kunitakia mafanikio katika kutimiza NDOTO yangu”...
kalale mzee. hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. wakati sisi tunalalia mihogo wewe ulitamba hadharani kuwa hakuna mtu anayeenjoy duniani kama wewe. sasa mbona unalialia?
 
Mimi sio mwanachama wa CCM. Ila kwa hili la kumpiga makonda chini. Nawapongeza watani zangu wa CCM. Akumbuke tukimuona Dar Kama Hana shughuli halali tunampeleka polisi.
 
Sahau, atapewa hata kazi nzuri kuliko ubunge! Huyu ni wa kufa na kuzikana!
Haijalishi ujumbe umefika HAPENDWI NA WATANZANIA PERIOD!
Kiburi kitapungua labda
Huu ni mwanzo 2025 atakuwa amehamia kwa mkewe
 
Watanzania tunaongozwa zaidi na chuki, hivi huyu kijana amewafanya nini? Kuanguka kwake we we binafsi unanufaikaje?
 
Back
Top Bottom