MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Bashite kafie mbele muuwaji na mpora haki za kuishi za watu..Serikali ya Marekani kupitia Pompeo imesema.Kwisha habari yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite kafie mbele muuwaji na mpora haki za kuishi za watu..Serikali ya Marekani kupitia Pompeo imesema.Kwisha habari yake
Ongeza sauti pleaseeeMimi pia siamini wanasiasa nisivyowaamini wanaume.
Hapo ndiyo huwa mnauza majimbo kiulaiiniiiTusubiri maamuzi ya kamati kuu ya chama hiyo ya maoni haimaanishi umeshindwa
Chama cha mapinduzi kina wenyewe.
Hapo ndio kuchutama kwakeUjinga mtupu ukivuliwa nguo chutama!
Huna tofauti na wazazi wanaokumbatia watoto wezi kisa wanawapa zawadiKiuhalisia wanakigamboni wangepata matunda mengi Kama wangemchagua makonda kuliko ndugulile, kwakuwa Ni mfatiliaji mzuri na annaconnection kubwa na vigogo, japokuwa anamapungufu mengi Ila bado Ni mchapa kazi.
Pia Kura hizi rushwa huwa zinatembea Sana, Kama huko mollel alianza kuwapa rushwa wajumbe kitambo Sana kabla hata ya mchakato.
KWAO UKIONA WANATAJA KUWA MUNGU ATAWASAIDIA UJUE HAPO ANAYETAJWA NI JIWE. KWAO HUYO NDIYE MUNGU WAO.Yeyey si ni Mungu wa DSM sasa mapenzi ya Mungu yupi? madaraka yasisababishw tuajisahau
Kabisa mkuu nakubaliana na ww 100%Sahau, atapewa hata kazi nzuri kuliko ubunge! Huyu ni wa kufa na kuzikana!
Huenda akapewa uwaziri huyu .Sahau, atapewa hata kazi nzuri kuliko ubunge! Huyu ni wa kufa na kuzikana!