Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

download.jpeg

Dik-diks ni wenye haya na hawaeleweki wanajificha kwenye vichaka wakati mwingi. Wanaposhtushwa, hata hivyo, wanaruka kwa mfululizo wa zigzag.

Naona ndg yetu ameanza kuishi kama huyu.
 
Baada ya aliyekuwa RC wa Dar, Paul Makonda, leo Alhamisi kutotokea mahakamani katika kesi aliyofunguliwa na Saed Kubenea, kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Wakili Hekima Mwasipu amedai wanampango wa kuiomba mahakama itoe wito mpya baada ya juhudi za kumpata kushindikana.

---

Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda .

Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea.
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .

Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .

Mna uhakika huyu jamaa kazaliwa mwaka 1981?Mbona anaonekana kama mkubwa sana? I am sorry for being out of the topic
 
Baada ya aliyekuwa RC wa Dar, Paul Makonda, leo Alhamisi kutotokea mahakamani katika kesi aliyofunguliwa na Saed Kubenea, kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Wakili Hekima Mwasipu amedai wanampango wa kuiomba mahakama itoe wito mpya baada ya juhudi za kumpata kushindikana.

---

Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda .

Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea.
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .

Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .

FUGITIVE, anakimbia mkono wa sheria.
Ndiyo ajue alikiwa hajui.
 
Back
Top Bottom