Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na save hii comment wewe sio Mungu time will tellHii kesi kama hakuna mkono wa juu mtapoteza muda tu...msidhani itakuwa rahisi kama ile ya Bw Saa mbovu.
Chezea muda wewe? Muda ndo hakimu wa wa hakiGosh! Eventually happiest person in the country has become a fugitive
Sijui alikua na Maana gani??kea vipimo vile aiseh usiombe !eti unaambiwa kidole eti ki eti.............!dah!!Huyu huyu aliyesema katika mkoa wake ni lazima wanaume wote wapimwe tezi dume.
Hata kama nataka aende lupango alikuwa sahihi kwa ISTMwanaume hutakiwi kuendesha IST - Makonda
Mna uhakika huyu jamaa kazaliwa mwaka 1981?Mbona anaonekana kama mkubwa sana? I am sorry for being out of the topicBaada ya aliyekuwa RC wa Dar, Paul Makonda, leo Alhamisi kutotokea mahakamani katika kesi aliyofunguliwa na Saed Kubenea, kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Wakili Hekima Mwasipu amedai wanampango wa kuiomba mahakama itoe wito mpya baada ya juhudi za kumpata kushindikana.
---
Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda .
Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea.
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .
Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .
Waeleze mkuu, anaishi Njiro na kulima ManyireMbona yuko kwa mama mkwe wake Njiro Arusha?
FUGITIVE, anakimbia mkono wa sheria.Baada ya aliyekuwa RC wa Dar, Paul Makonda, leo Alhamisi kutotokea mahakamani katika kesi aliyofunguliwa na Saed Kubenea, kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Wakili Hekima Mwasipu amedai wanampango wa kuiomba mahakama itoe wito mpya baada ya juhudi za kumpata kushindikana.
---
Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda .
Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea.
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .
Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .
Lengo ni kumnyima raha tu wala hatuna haja ya kumfungaHii kesi kama hakuna mkono wa juu mtapoteza muda tu...msidhani itakuwa rahisi kama ile ya Bw Saa bovu.
Baba yako anayo😀Hata kama nataka aende lupango alikuwa sahihi kwa IST
This my my day[emoji28][emoji28][emoji28]Gosh! Eventually happiest person in the country has become a fugitive