Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Da!Kheri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga":
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da!Kheri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga":
Wewe bila shaka ni mchepuko wake au chawa wake!Nipo naye hapa waache uzushi. Hajapata with wowote hata yeye anashangaa.
Wewe siyo rafiki tena kwa sababu hutaki kukemea ufisadi kisa Rais ni mwanamke!🚶🚶🚶Rafiki ulipimwa tezi dume kwa amri ya RC?
Anaonekana mara nyingi akifanya mazoezi asubuhi. Na pia kuna mashamba yanauzwa Burka coffe huwa anaonekana huko.Seriously?
Ajuae kesho yako ni Mungu pekeeAmefikia hatua ya kuishi kwa mama mkwe!!
🤣🤣🤣Kakimbia nchi??Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8.
Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea. https://t.co/CUtEiY6DIb
Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda .
Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea.
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .
Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .
====
MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ili ahudhurie katika kesi aliyoifungua dhidi yake na Serikali.
Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi, tarehe 3 Februari 2022 na Wakili wa Kubenea, Hekima Mwasipu, akizungumza na wanahabari mahakamani hapo, baada ya kesi hiyo namba 1/2022, kuahirishwa hadi Jumanne ya tarehe 8 Februari mkwaka huu.
Katika kesi hiyo, Kubenea anaomba kibali cha mahakama kumshtaki Makonda, akidai Serikali kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) na Mkurugenzi wa Makosa ya Upelelezi nchini (DCI).
Imeshindwa kutekeleza majukumu yake ya kumshtaki kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka yanayomkabili. Katika kesi hiyo, Kubenea anaishtaki Ofisi ya DPP, DCI na Makonda.
Wakili Mwasipu amedai kuwa, ombi hilo wataliwasilisha mahakamani hapo Jumanne ijayo, wakati kesi hiyo ikienda kutajwa mbele ya Hakimu Aron Lyamuya.
Amedai wanakusudia kuchukua hatua hiyo, baada ya jitihada zao za kumpata Makonda kugonga mwamba.
“Ni kweli kesi ilkuwa inakuja kwa ajili ya kutajwa lakini imeahirishwa hadi Jumanne na mjibu maombi namba tatu ambaye ni Makonda, hakuweza kufika mahakamani. Sababu tumemtafuta sana tumeshindwa kumpata tunakusudia kuiomba mahakama tupewe summons mpya,” amedai Wakili Mwasipu.
Wakili Mwasipu amedai kuwa, wito huo endapo utatolewa, wanatarajia kuutangaza katika magazeti na kwenye njia nyingine, ili taarifa zimfikie Makonda.
Tunakusudia kuiomba mahakama hiyo tupewe summons mpya kum-save, ikiwemo kuandika kwenye gazeti na sehemu nyingine yeyote tutakayoona inafaa. Ili aweze kupata taarifa kwamba kuna kesi iko mahakamani,” amedai Wakili Mwasipu.
Hii ni mara ya pili kwa Makonda kutohudhuria katika usikilizwaji wa kesi hiyo, ambapo mara ya kwanza alishindwa kuhudhuria tarehe 3 Desemba 2021 bila ya kutoa taarifa yeyote.
Aidha, Wakili Mwasipu amesema kesi hiyo iliyokuwa inatajwa leo, imeahirishwa baada ya Hakimu Lyamuya kuwa na udhuru.
“Sababu ya kesi kuahirishwa ni waheshimiwa mahakkimu wanakwenda Segerea kuna shughuli ya kimahakama,” amesema Wakili Mwasipu.
Katika kesi hiyo, Kubenea anamshtaki Makonda kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwemo tukio la uvamizi la ofisi za Kituo cha Televisheni cha Clouds Tv, jijini Dar es Salaam, lkililotokea Machi 2017
Chanzo: Mwanahalisi
View attachment 2106277
Maskini Paul anaishi kama DigidigiAmefikia hatua ya kuishi kwa mama mkwe!!
Kwa sabaya mlisema hivyo hivyo. Hii kesi hata isipomfunga zitakuja nyingine nyingi huko mbeleni tena atakuwa kashasahausinema kama sinema nyingine....kuna mahala ni muajiriwa..wakaulizwe mabosi wake..
Aliyewapika hivyo sio Jpm ni chama chenyewe. Jpm tusimwonee kila kituHuyu pumbafu nae acheze yope Segerea nitafurahi sana.Na iwe funzo kwa vijana mkipewa madaraka msiojione mmekuwa ma VAN DAMME kwenye hivyo viti.Zipo pumbafu zingine kama ALI HAPI ,KENNED KIONGOSI ni vijana ambao walipewa fursa ya kuonesha ni namna gani wanaweza tengeneza Profile zao za uongozi wao wakajiona makomando Yosso.JPM ndo mpishi wa haya mavijana ya hovyo.
Watu wanadhani Laana haifanyi kaziVijana msitukane wazee haya ndio madhara yake sasa
Bado kale kadogo ambako bado kanabebwa
Hofu aliyonayo ni Kubwa baada ya kuona mfano halisi kwa Counterpart wake 7ya.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8.
Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea. https://t.co/CUtEiY6DIb
Hii ndio Taarifa iliyopatikana kwenye viunga vya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, ambako leo ilitarajiwa kusomwa kwa mara ya kwanza kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda .
Kesi hii imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea.
Taarifa za Wakili wa Kubenea inasema kwamba Makonda hakupokea wito wa Mahakama kwa vile hapatikani , aweza kuwa kajificha au kakimbia nchi .
Kesi imeahirishwa hadi wiki ijayo ambapo Wito mpya wa Mahakama umetolewa ili atafutwe na kukabidhiwa .
====
MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ili ahudhurie katika kesi aliyoifungua dhidi yake na Serikali.
Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi, tarehe 3 Februari 2022 na Wakili wa Kubenea, Hekima Mwasipu, akizungumza na wanahabari mahakamani hapo, baada ya kesi hiyo namba 1/2022, kuahirishwa hadi Jumanne ya tarehe 8 Februari mkwaka huu.
Katika kesi hiyo, Kubenea anaomba kibali cha mahakama kumshtaki Makonda, akidai Serikali kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) na Mkurugenzi wa Makosa ya Upelelezi nchini (DCI).
Imeshindwa kutekeleza majukumu yake ya kumshtaki kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka yanayomkabili. Katika kesi hiyo, Kubenea anaishtaki Ofisi ya DPP, DCI na Makonda.
Wakili Mwasipu amedai kuwa, ombi hilo wataliwasilisha mahakamani hapo Jumanne ijayo, wakati kesi hiyo ikienda kutajwa mbele ya Hakimu Aron Lyamuya.
Amedai wanakusudia kuchukua hatua hiyo, baada ya jitihada zao za kumpata Makonda kugonga mwamba.
“Ni kweli kesi ilkuwa inakuja kwa ajili ya kutajwa lakini imeahirishwa hadi Jumanne na mjibu maombi namba tatu ambaye ni Makonda, hakuweza kufika mahakamani. Sababu tumemtafuta sana tumeshindwa kumpata tunakusudia kuiomba mahakama tupewe summons mpya,” amedai Wakili Mwasipu.
Wakili Mwasipu amedai kuwa, wito huo endapo utatolewa, wanatarajia kuutangaza katika magazeti na kwenye njia nyingine, ili taarifa zimfikie Makonda.
Tunakusudia kuiomba mahakama hiyo tupewe summons mpya kum-save, ikiwemo kuandika kwenye gazeti na sehemu nyingine yeyote tutakayoona inafaa. Ili aweze kupata taarifa kwamba kuna kesi iko mahakamani,” amedai Wakili Mwasipu.
Hii ni mara ya pili kwa Makonda kutohudhuria katika usikilizwaji wa kesi hiyo, ambapo mara ya kwanza alishindwa kuhudhuria tarehe 3 Desemba 2021 bila ya kutoa taarifa yeyote.
Aidha, Wakili Mwasipu amesema kesi hiyo iliyokuwa inatajwa leo, imeahirishwa baada ya Hakimu Lyamuya kuwa na udhuru.
“Sababu ya kesi kuahirishwa ni waheshimiwa mahakkimu wanakwenda Segerea kuna shughuli ya kimahakama,” amesema Wakili Mwasipu.
Katika kesi hiyo, Kubenea anamshtaki Makonda kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ikiwemo tukio la uvamizi la ofisi za Kituo cha Televisheni cha Clouds Tv, jijini Dar es Salaam, lkililotokea Machi 2017
Chanzo: Mwanahalisi
View attachment 2106277
Aliwahi kuwaambia wanaume wa Dar wote atawapima Tezi dume.Walilia Sana aiseeKweli dunia duara, hujafa hujaumbika ndiyo huyu aliyekuwa anawaambia wabunge ambao si wakazi wa Dar es salaam marufuku kuwaona mjini, huyu aliyesema ukija mjini uwe umeoga, leo anaishi kama digidigi kwenye msitu wa simba wakali. Aiseee
Poa ila sisi wanaume tunaoendesha IST bado tunam-mind sana tu yaani.
Mbona Cyprian Musiba kashtakiwa na kahukumiwa kulipa mabilion na Shangazi na Joka la mdimu lakini kimyaa Hadi Sasa.Kama unafikiri ni Saed Kubenea pekee anayemshtaki nakupa pole.!
Tusimsingizie Jpm mbona wakati anampiga mtama Mzee Warioba Jpm alikuwa mbali
Ukweli CCM ndiyo mbaya wetu waTanganyika
Mtiririko wa kupika mavijana ya Hovyo unaanzia na kijana mwenyewe kwa kupokea mapokeo ya kuchekewa chekewa na wakuu zao JPM hakwepi hii lawama maana alikuwa anajiita kiingozi kichaa so wale walikuwa watoto wa baba yao kichaaAliyewapika hivyo sio Jpm ni chama chenyewe. Jpm tusimwonee kila kitu