msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Nakuona ulivyofuraTutakoma ubishi.
Unaonaje sukuma gang inavyotambaKumbe ndiyo maana !!!!!!!
Ndiyo inabidi aielewa falasada ya mama Samia ya Reconciliation.Enzi za utawala wake akiwa RC alimfokea hadharani chongollo akiwa DC, Leo hii makonda anakwenda kusimamiwa na kupewa maagizo na chongollo
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Tunamuomba tu asianzishe tena Hilo zoezi 😂😂😂Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?
alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)
Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.
HayakuhusuView attachment 2789164
Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?
alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)
Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.
Makonda ataimudu kuzidi huyo napeKabla hatujaangalia madhila yake aliyotenda enzi zake, je hiyo nafasi ataimudu?
Maana baada ya Nape hakuna aliyeweza.
Jambo jema sana...hapo kina mbowe Wanatamani kukimbilia ubelgiji walaah
Makonda ataimudu kuzidi huyo nape