Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?

alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)

Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.
Tunamuomba tu asianzishe tena Hilo zoezi 😂😂😂
 
Makonda kafanya maisha ya wengi yawe magumu mnamrudisha wa nini ?

alipoondoka alihojiwa ofisini alisema anachojutia hajafanikiwa kuwapima wanaume wa Dar tezi dume (kwa njia ya dole)

Hapa stop ya kwanza anaenda kuendeleza visasi vyake.

Hakika CCM imeishiwa watu. Maana mpaka kufikia kuwateua watuhumiwa wa mauaji, nadhani kuna shida kubwa ya kuwapata watu wenye uwezo na walio safi.

Licha ya Makonda kutajwa kama mhusika mkuu katika mipango na kusimamia zoezi la kutaka kumwua Tundu Lisu, kupotezwa kwa Ben Sanane, na wengineo; pia alitajwa kwa uwazi na serikali ya Marekani kuwa alikuwa akiwanyima watu haki ya kuishi, na hivyo kutoruhusiwa kuingia USA. Na pia USA ilikuwa inawasiliana na mataifa rafiki ili kutoruhusiwa kuingia kwenye mataifa yote yanayoheshimu haki za watu kuishi.

Sasa, Rais Samia baada ya kuidanganya jumuia ya kimataifa kuwa alikuwa anajali haki za watu, kwa vitendo anathibitisha vinginevyo. Kumbuka, ndege wafananao huruka kwa pamoja.

Lisu, huko uliko, waambie kuwa yule aliyekuwa akiwaondolea watu haki ya kuishi, baada ya Hayati Magufuli kumweka pembeni, Samia amemleta karibu naye ili wafanye kazi pamoja kwa ukaribu. Yumkini Rais Samia alifurahishwa na uovu wa mtu huyu.
 
Lilikua suala la muda tu. Kigamboni jiandaeni kisaikolojia tunarudi upyaaaa 2025
 
Duh! Julai 9, 2023 kuna member aliandika aliandika kama utabiri tu jamaa huyu kuwa katibu wa itikadi na uenezi na oktoba 2023 ikawa hivyo. Sasa sijui kama ni concident tu au ilipangwa? Tuseme hii ni surprising ya kisiasa
 
Back
Top Bottom