Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Bila shaka kwenye uzi huu kuna miamba ya ccm inachukua nondo kutoka kwa wana jf
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo nondo wampelekee nani labda akizifanyie kazi? Makonda hastahili maoni yoyote, kila kitu kuhusu yeye kipo wazi, kuja kuchukua maoni ya watu ni katika kupoteza muda kwakuwa waliomteua wanaishi Tanzania na kila kitu kuhusu yeye wanakijua zaid kuliko hata jf.
 
Kama ni kweli kateuliwa, basi wamemwonea tu Makonda wa watu.
Paul Makonda hawezi kufanya kazi na viongozi wa "laissez faire".
Yeye ni kiongozi mzuri akiwa na back up kama ya Hayati JPM.
Ofcourse namkubali sana Mh. Paul Makonda.
Namwombea Mungu amtangulie na asipigwe-pigwe stop katika kutekeleza majukumu yake hasa atakapoanza kuyashughulikia maviongozi mafisadi ndani ya chama na serikali.
 
Na kelele za Dp World rasmi zimezimwaaa!!
Wamebadirisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato au faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata kuwa DP World)
7. Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.

#Dawa ya TEC iliingia….😂😂
 
Okay okay, hizi ndio habari tunazopenda sasa, yani zile za kuhangaisha vichwa hatuna habari nazo kabisa, hapa tumesherehekea na kusahau agenda kuu ya ubinafsishaji wa bandari....
....siasa za hivi hazina tofauti na kula kimasihara ya rikiboy tu.
 
Hizo nondo wampelekee nani labda akizifanyie kazi? Makonda hastahili maoni yoyote, kila kitu kuhusu yeye kipo wazi, kuja kuchukua maoni ya watu ni katika kupoteza muda kwakuwa waliomteua wanaishi Tanzania na kila kitu kuhusu yeye wanakijua zaid kuliko hata jf.
Sio lazima awe makonda.
Ukitaka kuamini hilo angalia viewers wa hii thread tangia imeanzishwa.
 
Kama ni kweli kateuliwa, basi wamemwonea tu Makonda wa watu.
Paul Makonda hawezi kufanya kazi na viongozi wa "laissez faire".
Yeye ni kiongozi mzuri akiwa na back up kama ya Hayati JPM.
Ofcourse namkubali sana Mh. Paul Makonda.
Namwombea Mungu amtangulie na asipigwe-pigwe stop katika kutekeleza majukumu yake hasa atakapoanza kuyashughulikia maviongozi mafisadi ndani ya chama na serikali.
Akiishi alichoishi wakati wa Magufuli, atakuwa Shujaa sana. Ila akifanya hivyo watamtimua asubuhi kweupe. Nafikiri wanajaribu kubalance upepo wa 2025.
 
Wakuu naamini Kutangazwa kwa makondo leo kama Katibu wa Uenezi na itikadi haikuwa bahati mbaya bali imekuja Planned kabisa ili kufuta Trending ya Mkataba wa DP ambao umekuwa signed leo, Nchii hii imekuwa ikienda kwa matukio mana wameshatujua sisi ni watu wa namna gani? Kwahiyo huu mjadala ni kama umehamishwa fulani watu wote tutaelemea kujadili kuteuliwa kwa Paul Makonda
 
Sawa ngoja tuone!

Kumbe ishu ya Bandari Bado ipo!!?

Ina maana waraka wa TEC haukufua dafu si ndio!!?

JAL 1 IS DONE 2 AND 3 ARE NEXT!JUST A FEW DAYS!!! Tumia akili

LET'S WAIT!!
 
Back
Top Bottom