dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nampongeza jirani yangu kwa kuteuliwa kuwa mwenezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nondo wampelekee nani labda akizifanyie kazi? Makonda hastahili maoni yoyote, kila kitu kuhusu yeye kipo wazi, kuja kuchukua maoni ya watu ni katika kupoteza muda kwakuwa waliomteua wanaishi Tanzania na kila kitu kuhusu yeye wanakijua zaid kuliko hata jf.Bila shaka kwenye uzi huu kuna miamba ya ccm inachukua nondo kutoka kwa wana jf
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bado anadili kwanza kuteka akili za watu kama weweMbona wewe hujatekwa na upo humu jukwaani
Aliwahi kukemewa na Bashite kama mtoto mdogo, Bashite akiwa RC Dar. Sijui watafanyaje kazi?!Chongola mtu mzito sana!
Wamebadirisha vipengere vyote tata…Na kelele za Dp World rasmi zimezimwaaa!!
Mwenezi itikadi ana power gani kuwa shake Giants watoa maamuzi? Mbona sioni uhusiano unaoweza kuwatingisha manguli!Jambo jema sana...hapo kina mbowe Wanatamani kukimbilia ubelgiji walaah
Jamanii,, kila la heri kwakeWatu walijua, tangu usiku insta wameongelea sana
Sio lazima awe makonda.Hizo nondo wampelekee nani labda akizifanyie kazi? Makonda hastahili maoni yoyote, kila kitu kuhusu yeye kipo wazi, kuja kuchukua maoni ya watu ni katika kupoteza muda kwakuwa waliomteua wanaishi Tanzania na kila kitu kuhusu yeye wanakijua zaid kuliko hata jf.
Kanda ya ziwa strategy special for 2025Mama atueleeze anafanya haya kwa maelekezo ya nani?
Kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Una uhakika??Makonda hakuwahi kufanya kazi ccm , huyu amezoea mabavu ya kutumia dola kwenye vyeo serikalini .
Akiishi alichoishi wakati wa Magufuli, atakuwa Shujaa sana. Ila akifanya hivyo watamtimua asubuhi kweupe. Nafikiri wanajaribu kubalance upepo wa 2025.Kama ni kweli kateuliwa, basi wamemwonea tu Makonda wa watu.
Paul Makonda hawezi kufanya kazi na viongozi wa "laissez faire".
Yeye ni kiongozi mzuri akiwa na back up kama ya Hayati JPM.
Ofcourse namkubali sana Mh. Paul Makonda.
Namwombea Mungu amtangulie na asipigwe-pigwe stop katika kutekeleza majukumu yake hasa atakapoanza kuyashughulikia maviongozi mafisadi ndani ya chama na serikali.
Wanasiasa hawana uso wa haya,.Joseph Gwajima na Chongolo wataficha wapi nyuso zao?
CCM ni kusanyiko la watu wapuuzi haswaGood!
Opposition parties usingizi kwishaaa!
Unajisikiaje hapo ulipo?Ni dhahiri, maridhiano na CHADEMA yamefikia mwisho.