Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Hawa wapinzani wanahitaji watu kama hawa na CCM wamepatia sana. Makonda 100% atafit sana. Hongera Makonda nadhani ulijifunza na tunategemea utakuja kivingine more matured katika uongozi.
Ulichoongea mwanzo na ulivyomalizia, imenipa picha yako kuwa una Iq ndogo sana kama sio mtoto wa sekondari form II
 
Kuna watu sijui sura zao wataweka wapi. Walifanya makosa yale yale waliyomtukania Makonda kwa kumbagaza bila kujua kesho yake. Tulivyo wanafiki kama Mungu angetuonesha kesho ya Makonda wala wasingemtukana.

Subiri muone sasa wasanii, mastar na wanasiasa watavyorejea kujipendekeza!

Hongera sana Paul Makonda, toka 2021 - 2023 ulikuwa chuoni naamini umehitimu sasa.
 
Matusi kwa Watanzania na hasa wale walio poteza wapendwa wao,kujeruhiwa na kuporwa mali na kuflisiwa! Ni siku nyeusi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…