mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ameteuliwa kuwa IGP auJambo jema sana...hapo kina mbowe Wanatamani kukimbilia ubelgiji walaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameteuliwa kuwa IGP auJambo jema sana...hapo kina mbowe Wanatamani kukimbilia ubelgiji walaah
Ulichoongea mwanzo na ulivyomalizia, imenipa picha yako kuwa una Iq ndogo sana kama sio mtoto wa sekondari form IIHawa wapinzani wanahitaji watu kama hawa na CCM wamepatia sana. Makonda 100% atafit sana. Hongera Makonda nadhani ulijifunza na tunategemea utakuja kivingine more matured katika uongozi.
Ulivyo mjinga unawaza kuhusu OPPOSITION PARTIES badala ya kuwaza kuhusu ustawi wa JamiiGood!
Opposition parties usingizi kwishaaa!
Mtanyooka mwaka huu itabidi leo ukalale Desderia pale huku ukilia machozi kwa kwikwiHuyu kwetu ni mwepesi kuliko pamba
Joseph Gwajima na Chongolo wataficha wapi nyuso zao?
katibu mwenezi vs katibu mkuuTutakoma ubishi.
Matusi kwa Watanzania na hasa wale walio poteza wapendwa wao,kujeruhiwa na kuporwa mali na kuflisiwa! Ni siku nyeusi leo.View attachment 2789085 Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi. === Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masala mengine, imeridhia kwa kauli moja na kuielekeza Serikali kuendelea na hatua ya utiaji saini mikataba ya uendelezaji na uwekezaji wa bandari. Aidha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwa kumteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, akichukua nafasi ya Ndugu Sophia Edward Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masala ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum. Halmashauri Kuu ya CM Taifa pia imemteua Ndugu Rabia Abdallah Hamid kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), akichukua nafasi ya Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Aidha katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imezipongeza Serikali zake zote mbili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dokta Samia Suluhu Hassan na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, chini ya Rais Dokta Hussen Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kazi kubwa na nzuri ya kuendelea kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020 - 2025. === Pia soma: Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!
Maisha tu mkuu 😀😀😀katibu mwenezi vs katibu mkuu