Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Jimbo la Kibamba tunakukaribisha tena kwenye siasa. Ukiweza 2025 njoo ugombee kabisa huku tukupe kura make mbunge wa sasa hatumuelewi kabisa. Hata barabara za Tanroads zimemshinda kuzipigania.
 
Kumbe wewe mpuuzi kweli Chadema haikumuogopa Magufuli imuogope huyo div zero mwenzako. Unaona sasa tunapokuambia wewe ni takataka tu kwa walioko madarakani na kamwe huwezi kuteuliwa.

Acha kuandika maneno yakitokea puani na kwamasi.. pokea 💉💉💉🤣🤣🤣
 
Inategemea rais nani? Kama mama huyu mwenye huruma Makonda ataishia kujenga hoja. Mama ana huruma sana
 
Mama kacheza Bonge la Pass bila hivyo CCM ingekuwa ishakufa maana CCM ya wakagi ule kupambana na Lissu wasingeweza ila kwa sasa wamefaulu Makonda yuko Vizuri kwenye hiyo sekta kongole Ccm
 
Back
Top Bottom