Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

Kupitia mtandao wa X, Waziri wa Habari, Nape Nnauye ameandika ujumbe kwa Paul Makonda aliyeteuliwa kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM.

Ameandika:
"Mdogo wangu Paul, Karibu sana kwenye Uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo, and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila lakheri!"


View attachment 2789149
Kuna siku .....Makonda kama boss Nape ...kwenye chama...atasema anapwaya mamlaka uteuzi ....wafanye yake...tusubiri muda utaongea .....mawaziri mizigo....hawamsaidii Mama
 
Acha kuandika maneno yakitokea puani na kwamasi.. pokea [emoji382][emoji382][emoji382][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayakuhusu
FB_IMG_1697801575410.jpg
 
Back
Top Bottom