CCM hawana uadui wa kudumuJoseph Gwajima na Chongolo wataficha wapi nyuso zao?
kwny kamati kimkakati Fred Lowassa na Ridhiwani Kikwete wanapiga kazi moja na ushirikiano ni asilimia 1000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hawana uadui wa kudumuJoseph Gwajima na Chongolo wataficha wapi nyuso zao?
Kuliwa ndio msamiati gani?Wale wajinga wanaoongea ongea hovyo wakae mkao wa kuliwa sasa.
kaama namuona mdudu kwa mbaaali akichekelea.
Kumbe ndiyo maana !!!!!!!Ndugu Mshana Jr nakumbuka uzi wako wa picha na maana zake.
Jambo jema sana...hapo kina mbowe Wanatamani kukimbilia ubelgiji walaah
mdudu mwenyewe kishaelewa.Kuliwa ndio msamiati gani?
Sidhani kwa mapito walio pita chadema waje wamalizike kiurahisi namna hio.Chadema kwisha habari yao.
Wanafahamu ujinga wa wabongo wengi upo wapi.Yaani hii ni kali sana. CCM ni maprofesa wa haya mambo. Hapa raia hawana namna zaidi ya kumwongelea Makonda.
Hana uwezo wa ushawishiMsiyempenda kaja.
Ukiipata nishtue DMKuishinda CCM kwa kura ni ngumu, twatakiwa tutafute mbinu mpya
Ni dhahiri, maridhiano na CHADEMA yamefikia mwisho.
Endelea kujidanganya! Tena Makonda kwa taarifa yako ndo mtu pekee aliye na ushawishi CCM!Rest in peace Ben saanane.
Lakini najua majority ya CCM pia hawampendi makonda
Kwa lipi , mbona hana ushawishi wowote ?Chadema kwisha habari yao.