Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
We nae umekuaje? Kwanini unaruhusu kinyesi kutokea kinywani mwako na sio makalioni?Mpumbavu wewe kaa kimya. Mjini umekuja juzi toka Kolomije unauliza maswali ya kipimbi
Kwani wewe ulivyo vuliwa ubingwa kuna mtu alikushika miguu?We nae umekuaje? Kwanini unaruhusu kinyesi kutokea kinywani mwako na sio makalioni?
Hoja ikikuzidi uwezo unapita kimya kimya sio unahara hovyo mbele za watu tena kwa kutumia mdomo!
Kwahiyo kumbe na wewe ulishiriki katika kuvuliwa ubingwa? Mimi sijawahi kuwa “bingwa kabisa, sina cha kuvuliwa.Kwani wewe ulivyo vuliwa ubingwa kuna mtu alikushika miguu?
Mfano nikisema baba ako anapigwa mti ndio maana akazaa mtoto asiye timamu...nitakuwa nimemkosoa kwenye malezi au nimemwambia hali halisi?Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.
Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa.
Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo.
Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
Rais Samia, hawa watu wanakuchezea tu, kwa sababu wameshakusoma. Kukubali kwako yale wanayofanya inaweza kuwa ni kuonyesha udhaifu kwa namna fulani. Wakemee wao, waambie uraisi ni ukubwa na ukubwa ni jaa. Kuna kukosolewa na hata kutukanwa, nk.
Usipofanya hivyo, unaweza kufikia kuwa na mentality ya kudhani watu wanaosemwa wanakutukana wanakufanyia hivyo kwa sababu wewe ni raisi mwanamke, au la labda kwa sababu ni raisi toka Zanzibar, au labda kwa sababu ni raisi mrithi wa Magufuli, nk. Once unaweka mindset kama hiyo kichwani mwako basi itakuwa ndio anguko lako, kwa kuwa utakuwa tegemezi kabisa wa hawa watu wanaoimba eti raisi anatukanwa. Siku zote utataka wakutetee, na kama sehemu ya kukutetea utataka kusifiwa kila wakati, zaidi ya ilivyo sasa. Na wewe utakuwa ukifanya kazi na kuongea kwa namna ya kutafuta sifa. Angalia sana juu ya hili.
Kabla hujaandika si ufanye hata simple observation mkuu!!?,mpaka sasa hujafaham ili vuguvugu la Rais kutukanwa limetokea wapi.Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.
Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa.
Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo.
Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
Rais Samia, hawa watu wanakuchezea tu, kwa sababu wameshakusoma. Kukubali kwako yale wanayofanya inaweza kuwa ni kuonyesha udhaifu kwa namna fulani. Wakemee wao, waambie uraisi ni ukubwa na ukubwa ni jaa. Kuna kukosolewa na hata kutukanwa, nk.
Usipofanya hivyo, unaweza kufikia kuwa na mentality ya kudhani watu wanaosemwa wanakutukana wanakufanyia hivyo kwa sababu wewe ni raisi mwanamke, au la labda kwa sababu ni raisi toka Zanzibar, au labda kwa sababu ni raisi mrithi wa Magufuli, nk. Once unaweka mindset kama hiyo kichwani mwako basi itakuwa ndio anguko lako, kwa kuwa utakuwa tegemezi kabisa wa hawa watu wanaoimba eti raisi anatukanwa. Siku zote utataka wakutetee, na kama sehemu ya kukutetea utataka kusifiwa kila wakati, zaidi ya ilivyo sasa. Na wewe utakuwa ukifanya kazi na kuongea kwa namna ya kutafuta sifa. Angalia sana juu ya hili.
Ukiwa na akili timamu utayapuuza maneno kama hayo badala ya kuyakuza. Kwani yanaweza kuwa kweli kwa namna yeyote ile? Ni sawa na mie kukuambia tumbili wewe. Utakasirika ikiwa unajua wewe sio tumbili? Ukasirike kama wewe ni tumbili kweli na umekuwa ukificha hilo, na sasa nimetoa siri yako hadharaniMfano nikisema baba ako anapigwa mti ndio maana akazaa mtoto asiye timamu...nitakuwa nimemkosoa kwenye malezi au nimemwambia hali halisi?
Mtumishi wa umma kama hataki kukosolewa suluhisho sahihi ni kuacha utumishiHili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.
Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa. Huenda wapo watu wachache wanatukana kama ilivyokuwa kwa maraisi wengine, lakini kumbuka kuna viongozi nchini wametukanwa matusi mabaya na wakakaa kimya. Na baadhi ya waliotukana ni haohao wanaojifanya kuumizwa kuwa wewe unatukanwa. Matusi hayawi matusi au kuuma zaidi pale tu unapokuwa raisi.
Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo.
Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
Najua linakotokea ndio maana nimeandika threadKabla hujaandika si ufanye hata simple observation mkuu!!?,mpaka sasa hujafaham ili vuguvugu la Rais kutukanwa limetokea wapi.
Nafikiri hiki kiswahili kikifika kwako tusi hugeuka kukoselewa hivi mtu anapoambiwa msagaji ndio kukosolewa kwa lugha yenu!Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.
Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa. Huenda wapo watu wachache wanatukana kama ilivyokuwa kwa maraisi wengine, lakini kumbuka kuna viongozi nchini wametukanwa matusi mabaya na wakakaa kimya. Na baadhi ya waliotukana ni haohao wanaojifanya kuumizwa kuwa wewe unatukanwa.
Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo. Na pia matusi hayawi matusi au kuuma zaidi pale tu unapokuwa raisi.
Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
Ulisoma yale ya Mange Kimambi dhidi ya Magufuli? Sasa kipya kipo wapi hapo?Umesoma Yale mavitu ya Mange Kimambi? Yale makitu na mapicha Yale ni matusi au sio matusi?
Pole maana wewe ndiyo waonekana umekosa ubinaadamuMfano nikisema baba ako anapigwa mti ndio maana akazaa mtoto asiye timamu...nitakuwa nimemkosoa kwenye malezi au nimemwambia hali halisi?
Kuitwa msagaji sio tusi, ni tuhuma ikiwa bado hazijathibitishwa. Sasa suala ni kwamba ni tuhuma za kweli? Kwa nini useme umetukana kuliko kusema umetuhumu basi?Nafikiri hiki kiswahili kikifika kwako tusi hugeuka kukoselewa hivi mtu anapoambiwa msagaji ndio kukosolewa kwa lugha yenu!