Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

Mpumbavu wewe kaa kimya. Mjini umekuja juzi toka Kolomije unauliza maswali ya kipimbi
We nae umekuaje? Kwanini unaruhusu kinyesi kutokea kinywani mwako na sio makalioni?

Hoja ikikuzidi uwezo unapita kimya kimya sio unahara hovyo mbele za watu tena kwa kutumia mdomo!
 
Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.

Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa. Huenda wapo watu wachache wanatukana kama ilivyokuwa kwa maraisi wengine, lakini kumbuka kuna viongozi nchini wametukanwa matusi mabaya na wakakaa kimya. Na baadhi ya waliotukana ni haohao wanaojifanya kuumizwa kuwa wewe unatukanwa.

Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo. Na pia matusi hayawi matusi au kuuma zaidi pale tu unapokuwa raisi. Kwa mfano, kitendo cha kusema hadharani kuna mawaziri wanamtukana raisi, haikuwa jambo lililomjenga raisi, bali kumbomoa. Ujumbe uliofika kwa wananchi ni kwamba kama Raisi haheshimiki hata na watu anaowateua yeye mwenyewe, basi labda hafai.

Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
 
Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.

Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa.

Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo.

Rais Samia, hawa watu wanakuchezea tu, kwa sababu wameshakusoma. Kukubali kwako yale wanayofanya inaweza kuwa ni kuonyesha udhaifu kwa namna fulani. Wakemee wao, waambie uraisi ni ukubwa na ukubwa ni jaa. Kuna kukosolewa na hata kutukanwa, nk.

Usipofanya hivyo, unaweza kufikia kuwa na mentality ya kudhani watu wanaosemwa wanakutukana wanakufanyia hivyo kwa sababu wewe ni raisi mwanamke, au la labda kwa sababu ni raisi toka Zanzibar, au labda kwa sababu ni raisi mrithi wa Magufuli, nk. Once unaweka mindset kama hiyo kichwani mwako basi itakuwa ndio anguko lako, kwa kuwa utakuwa tegemezi kabisa wa hawa watu wanaoimba eti raisi anatukanwa. Siku zote utataka wakutetee, na kama sehemu ya kukutetea utataka kusifiwa kila wakati, zaidi ya ilivyo sasa. Na wewe utakuwa ukifanya kazi na kuongea kwa namna ya kutafuta sifa. Angalia sana juu ya hili.
Mfano nikisema baba ako anapigwa mti ndio maana akazaa mtoto asiye timamu...nitakuwa nimemkosoa kwenye malezi au nimemwambia hali halisi?
 
Kabla hujaandika si ufanye hata simple observation mkuu!!?,mpaka sasa hujafaham ili vuguvugu la Rais kutukanwa limetokea wapi.
 
Mfano nikisema baba ako anapigwa mti ndio maana akazaa mtoto asiye timamu...nitakuwa nimemkosoa kwenye malezi au nimemwambia hali halisi?
Ukiwa na akili timamu utayapuuza maneno kama hayo badala ya kuyakuza. Kwani yanaweza kuwa kweli kwa namna yeyote ile? Ni sawa na mie kukuambia tumbili wewe. Utakasirika ikiwa unajua wewe sio tumbili? Ukasirike kama wewe ni tumbili kweli na umekuwa ukificha hilo, na sasa nimetoa siri yako hadharani
 
Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.

Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa. Huenda wapo watu wachache wanatukana kama ilivyokuwa kwa maraisi wengine, lakini kumbuka kuna viongozi nchini wametukanwa matusi mabaya na wakakaa kimya. Na baadhi ya waliotukana ni haohao wanaojifanya kuumizwa kuwa wewe unatukanwa. Matusi hayawi matusi au kuuma zaidi pale tu unapokuwa raisi.

Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo.

Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
Mtumishi wa umma kama hataki kukosolewa suluhisho sahihi ni kuacha utumishi
 
Hawa watu wanamchezea tu raisi, kwa sababu wamemsoma. Kukubali kwake yale wanayofanya inaweza kuwa ni kuonyesha udhaifu kwa namna fulani. Inapaswa awakemee wao, awaambie uraisi ni ukubwa na ukubwa ni jaa. Kuna kukosolewa na hata kutukanwa, nk.

Asipofanya hivyo, inaweza kufikia akawa na mentality ya kudhani watu wanaosemwa wanamtukana wanamfanyia hivyo kwa sababu yeye ni raisi mwanamke, au la labda kwa sababu ni raisi toka Zanzibar, au labda kwa sababu ni raisi mrithi wa Magufuli, nk. Once anaweka mindset kama hiyo kichwani mwake basi itakuwa ndio anguko lake, kwa kuwa atakuwa tegemezi kabisa wa hawa watu wanaoimba eti raisi anatukanwa. Siku zote atataka wamtetee, na kama sehemu ya kumtetea atataka kusifiwa kila wakati, zaidi ya ilivyo sasa. Na atakuwa akifanya kazi na kuongea kwa namna ya kutafuta sifa au huruma za watu. Raisi anapaswa kuwa makini sana na hili.
 
Umesoma Yale mavitu ya Mange Kimambi? Yale makitu na mapicha Yale ni matusi au sio matusi?

Pamoja na kutokukubaliana na mama Samia kwa baadhi ya vitu na li CCM lake ila kwa mawazo yangu matusi kama Yale ya Mange Kimambi HAPANA!

Ni bahati sana hii nchi tuko nyuma kila kitu, ingekuwa nchi zingine Mange sio wa kuachwa
 
Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini.

Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo jipya kwa raisi wa Tanzania ambalo halikuwahi kutokea kwa maraisi wengine. Kina Nyerere waliitwa Haambiliki; Mwinyi Koti; Mkapa Fisadi; Kikwete Dhaifu; Magufuli Dikteta Uchwara. Hakuna alieimba eti raisi anatukanwa. Huenda wapo watu wachache wanatukana kama ilivyokuwa kwa maraisi wengine, lakini kumbuka kuna viongozi nchini wametukanwa matusi mabaya na wakakaa kimya. Na baadhi ya waliotukana ni haohao wanaojifanya kuumizwa kuwa wewe unatukanwa.

Ninachoona kikitokea hapa ni viongozi kama Makonda na wengine kama yeye kutafuta kila namna ya kujipendekeza kwa Raisi Samia na kujifanya wana uchungu sana na yale wanayosema Watanzania dhidi ya Raisi Samia, na kuyakuza sana kuwa ni matusi, kama vile Raisi Samia ndie raisi pekee nchini kupitia vitu kama hivyo. Na pia matusi hayawi matusi au kuuma zaidi pale tu unapokuwa raisi.

Ninamtahadharisha Raisi Samia asiache watu hawa kuanza kuingia kichwani kwake, kwa kukubali huruma zao fake na kuanza kuwaona kama watetezi wake waaminifu. Asichoelewa Raisi Samia ni kwamba hawa watu wameshaiona saikolojia yake, kwamba anapenda kusifiwa kama ilivyo silka ya wanawake (maana sijawahi kumsikia akikemea kusifiwa kwa kufanya kazi yake) na sasa, zaidi ya kumsifia, wameamua kumwonyesha kuwa wanaumizwa sana na yanayosemwa dhidi yake.
Nafikiri hiki kiswahili kikifika kwako tusi hugeuka kukoselewa hivi mtu anapoambiwa msagaji ndio kukosolewa kwa lugha yenu!
 
Kuitwa msagaji sio tusi, ni tuhuma ikiwa bado hazijathibitishwa. Sasa suala ni kwamba ni tuhuma za kweli? Kwa nini useme umetukana kuliko kusema umetuhumu basi?
 
Back
Top Bottom