Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kuna njia mbili za kutatua tatizo lolote
1.kukaa kimya
2.kujishusha
Na kabla ya kuchagua njia ipi inafaa,ni muhimu kuangalia faida na hasara za jambo husika.
Na kama kuna vitu tutavikosa/athali kutokana na misuguano itakayoendelea,ni vizuri kujipanga.
Hata hivyo ni vyema pia kujitizama/kujitafakali kwa makini kwanini iwe sasa,na ni busara pia Marekani kuleta ushaidi wa wanayemtuhumu ili dunia ijue undani wake.
Ninaamini panda mbili zitakutana ili kuondoa simtofahamu hiyo ya kidiplomasia na njia nzuri ni ya mazungumzo ya ana kwa ana kuliko kutumia mitandao.
Natoa ombi kwa Ubalozi wa Marekani kuishauri serikali ya yake,mambo kama haya ni vema wakawa wanawasiliana kabla ya kuyapublisha.
Njia nzuri ya kutatua tatizo sio kuibua tatizo ili ulitatue ila ni kutatua tatizo kabla ya kuliibua.
 
Yani wabongo sie ni mzigo kweli tunafurahia hili suala na kuona Marekani wanatusaidia kana kwamba sie wenyewe tulifanya jitihada yeyote ile kupambana na hili tatizo letu tukashindwa.
Sisi unataka tufanyeje Mkuu? NI watu wangapi waliouwawa na Wasiojulikana hadi sasa umepata ukweli wake? Nani alimteka MO, si tuliambiwa wangekamatwa?
 
MKuu mie na wewe tuko pamoja!
 
Huo ndiyo mwanzo tu maana mashitaka ya ICC yanaandaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza bila kupata jibu; Hivi Makonda anajisikiaje sasa hivi akijua kwamba sasa Tanzania nzima inajua wazi yeye ndie alikuwa nyuma ya mauaji na utekaji wa Wasiojulikana? Huko nyuma ni baadhi tu walijua, lakini sasa ni kitabu cha umma!
 
Mkuu upo hospital?
 
Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Sasa kwa kuwa walimyima huyo wa iran ina maana Daud Bashite yeye anayo haki ya kuendelea kuwanyima watu haki ya kuishi?
 
Nawaza bila kupata jibu; Hivi Makonda anajisikiaje sasa hivi akijua kwamba sasa Tanzania nzima inajua wazi yeye ndie alikuwa nyumba ya mauaji na utekaji wa Wasiojulikana? Huko nyuma ni baadhi tu walijua, lakini sasa ni kitabu cha umma!
Hata Dodoma ndiye alikwenda kumfanyia shambulio Tundu lisu kwa mujibu wa Le mutuz ambaye alikuwemo ndani ya gari vx iliyopaki geni wakati nyaulingo na kisanduku wakifanya shambulio kutokea kwenye Nisan nyeupe
 
Hiyo ni fake.....
changia taarifa ambazo ni authentic

Ni feki kwa evidence ipi uliyoweka hapa?

Kwavile bwana Secret File kasema ni fake basi tuamini ni feki?

Na mimi randomly nikasema si feki?

Itakua ni your word against mine in the same level footing...hakuna mwenye evidence!

Who is who?Nobody

Amini chako niamini changu!
 
Sisi unataka tufanyeje Mkuu? NI watu wangapi waliouwawa na Wasiojulikana hadi sasa umepata ukweli wake? Nani alimteka MO, si tuliambiwa wangekamatwa?
Unaniuliza tufanye wakati tatizo ndio letu sote na hivyo tunatakiwa tujue jinsi ya kulitatua,yani hao wazungu watupe misaada na bado hata kutatua matatizo yetu ya pia nako watutatulie hao hao wazungu sasa sie ni binaadamu hadi mizigo? Kibaya mtu anashangilia kabisa.
 
Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie

VIONGOZI WAKUBWA SANA KTK SERIKALI YA USA...ni MASHOGA......WANATAKA DUNIA YOTE WAWE MASHOGa......WATANZANIA KUWENI MACHO....................
 
Ila wamechelewa sana BASHITE katuumiza watanganyika sana.
Kila nikimuangalia Magufuli nashindwa kumuelewa kabisa, ubabe wake wote amekua Rais DHAIFU kwa hiki kiumbe.

Bashite amemkamata pabaya Jiwe kwa sababu ya kumpeleka kwa waganga kufanya ndumba. Sasa Bashite pamoja na hao waganga have blackmailed Jiwe kuwa akimuondoa Makonda kwenye uRC Basi na yeye urais wake utakoma!! Ndio maana anamuogopa; he has been blackmailed!!
 
Siku zote huwezi shindana na ukweli, waliambiwa sana toka mwanzo wakajifanya wajanja kujibu kwa dharau, sasa wameelewa maana ya msemo mwisho wa ubaya aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…