Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kuna njia mbili za kutatua tatizo lolote
1.kukaa kimya
2.kujishusha
Na kabla ya kuchagua njia ipi inafaa,ni muhimu kuangalia faida na hasara za jambo husika.
Na kama kuna vitu tutavikosa/athali kutokana na misuguano itakayoendelea,ni vizuri kujipanga.
Hata hivyo ni vyema pia kujitizama/kujitafakali kwa makini kwanini iwe sasa,na ni busara pia Marekani kuleta ushaidi wa wanayemtuhumu ili dunia ijue undani wake.
Ninaamini panda mbili zitakutana ili kuondoa simtofahamu hiyo ya kidiplomasia na njia nzuri ni ya mazungumzo ya ana kwa ana kuliko kutumia mitandao.
Natoa ombi kwa Ubalozi wa Marekani kuishauri serikali ya yake,mambo kama haya ni vema wakawa wanawasiliana kabla ya kuyapublisha.
Njia nzuri ya kutatua tatizo sio kuibua tatizo ili ulitatue ila ni kutatua tatizo kabla ya kuliibua.