Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie
Nawaza bila kupata jibu; Hivi Makonda anajisikiaje sasa hivi akijua kwamba sasa Tanzania nzima inajua wazi yeye ndie alikuwa nyuma ya mauaji na utekaji wa Wasiojulikana? Huko nyuma ni baadhi tu walijua, lakini sasa ni kitabu cha umma!
Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie
CCM njooni huku mumtetee na kumpa pole mwanachama wenu
ni kweli, kwa hivyo kimsingi umekiri kwamba makonda ni muuaji?!.Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
P.MayallaKawe
Kawe alumni
Jingalao
Myoyabendi
ISIS
Naelewa Sana! Sema nilianza kwa kukuuliza swali kiroho safiMKuu mie na wewe tuko pamoja!
Ni majinga haswa hata hayajielewi
Hao unaowataja hujui kama walikuwa madikteta? Na kiongozi akishakuwa dikteta unajua anaua watu wangampi wanaomkosoa na kumpinga? Kwahiyo wewe ulitaka wawaache tu waendelee kuangamiza watu wasiokuwa na hatia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hili sio tatizo linalohitaji akili zetu kutatua, bali huu ni uamuzi uliofanywa na watu wetu wenye nguvu dhidi ya wanynge wao. Hapo inkuwa vigumu kusema tulitatue tatizo wenyewe. Mazingira kama haya, ya kunyang'anya mwendawizimu kisu akiwa ameshika mpini, mara nyingi yanahitaji msaada wa nje!Unaniuliza tufanye wakati tatizo ndio letu sote na hivyo tunatakiwa tujue jinsi ya kulitatua,yani hao wazungu watupe misaada na bado hata kutatua matatizo yetu ya pia nako watutatulie hao hao wazungu sasa sie ni binaadamu hadi mizigo? Kibaya mtu anashangilia kabisa.
Hilo ni jambo ambalo ni watu wachache sana watapinga, hata CCM wenyewe.
Lakini US ilikiri kuhusika na kifo cha huyo Generali, hapa Tanzania watu wanapotea na wengine wanakula risasi kweupe lakini serikali haisemi wala haitafuti wahusika. Huoni tofauti ya US na Tz hapo? Halafu hii sentensi yako 'mbona USA ilimnyima haki ya kuishi jenerali wa Irani'? inasema mengi, kwa mara ya kwanza umekikiri kitu kikubwa badala ya ile General statement 'wasiojulikana'.Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku