Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Walishamzira zamani mkuu. Toka pale alipoanza kuwafanya hata wenzie wapigwe chini kwenye uongozi,ikaja kuwalazimisha mawaziri wafanye anachotaka kama yeye ndio waziri mkuu. Wote wamsusa kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeachwa kwanza mpayuke wee,halafu mje kujikana wenyewe,issue hii inashughulikiwa kitaalamu,pambaneni na hali zenu,Makonda hamwezi hata kidogo
Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu sana, kwa nchi za wenzetu hakutakiwa kuwepo ofisi ya umma
Nawaza bila kupata jibu; Hivi Makonda anajisikiaje sasa hivi akijua kwamba sasa Tanzania nzima inajua wazi yeye ndie alikuwa nyuma ya mauaji na utekaji wa Wasiojulikana? Huko nyuma ni baadhi tu walijua, lakini sasa ni kitabu cha umma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Wakuu, habari
Naona IDs zote za CCM hazimtetei makonda au kumpa pole kwa kuzuiwa kuingia marekani kuna nini kimetokea?, wamemzilia?, mwenye taarifa atuambie
IMG-20200202-WA0034~2.jpeg
tapatalk_1580649121334.jpeg


Jr[emoji769]
 
Hao unaowataja hujui kama walikuwa madikteta? Na kiongozi akishakuwa dikteta unajua anaua watu wangampi wanaomkosoa na kumpinga? Kwahiyo wewe ulitaka wawaache tu waendelee kuangamiza watu wasiokuwa na hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app

Udikiteta mkuuu kivipi wakati Libya ilikuwa ata kuoa unalipiwa mahari,Jangwa likageuzwa nchi ya maziwa na Asali+Mbogamboga....Wamarekana kama sio Ushoga wanataka Makinikia yao tu.
 
Unaniuliza tufanye wakati tatizo ndio letu sote na hivyo tunatakiwa tujue jinsi ya kulitatua,yani hao wazungu watupe misaada na bado hata kutatua matatizo yetu ya pia nako watutatulie hao hao wazungu sasa sie ni binaadamu hadi mizigo? Kibaya mtu anashangilia kabisa.
Tatizo hili sio tatizo linalohitaji akili zetu kutatua, bali huu ni uamuzi uliofanywa na watu wetu wenye nguvu dhidi ya wanynge wao. Hapo inkuwa vigumu kusema tulitatue tatizo wenyewe. Mazingira kama haya, ya kunyang'anya mwendawizimu kisu akiwa ameshika mpini, mara nyingi yanahitaji msaada wa nje!
 
ni kweli, kwa hivyo kimsingi umekiri kwamba makonda ni muuaji?!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni jambo ambalo ni watu wachache sana watapinga, hata CCM wenyewe.

Huwezi kuniambia kwamba kikundi cha wasiojulikana ambacho kilifanya kazi kwa maslahi ya serikali iliyopo madarakani kilikuwa ni kikundi cha wapinzani. Hilo CCM wanalijua wazi na watu wanajua haiwezekani ilikuwa ni kikundi tu cha wendawazimu fulani waliamua kufanya yale yote kwa maslahi ya serikali na CCM.
 
Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Lakini US ilikiri kuhusika na kifo cha huyo Generali, hapa Tanzania watu wanapotea na wengine wanakula risasi kweupe lakini serikali haisemi wala haitafuti wahusika. Huoni tofauti ya US na Tz hapo? Halafu hii sentensi yako 'mbona USA ilimnyima haki ya kuishi jenerali wa Irani'? inasema mengi, kwa mara ya kwanza umekikiri kitu kikubwa badala ya ile General statement 'wasiojulikana'.
 
Nimekomea kusoma ulipoandika Makonda kua Nationalist anaeandaliwa kuwa Rais, nimekuweka mwisho kuliko chochote, yaani hata kinyesi cha mbwa kinakuzidi, yaani Makonda awe Rais? Kweli? Acha upumbavu bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwekwa kuwa kwaya master wa mapambio na sifa haikupi nafasi ya kujifanya chizi wa milembe kwa kumfananisha kabudi, makonda na magufuli na watu kama Castro, Gadafi, Shavezi na Patrice Lumumba umeonyesha utovu wa nidhamu wa historia yaani kukamata makinikia tayari umewaona ndo wazalendo hadi kuwafananisha hawa wachumia tumbo na mtu aliyekufa kwa kutetea taifa lake?

Hata kama umeahidiwa sijui cheo gani huwezi KUWA HUNA ADABU KIASI HIKI KWA KUFANANISHA HAYATI WALIOKUFA KWA HESHIMA KUBWA NA WACHUMIA TUMBO AMBAO MMOJAWAPO AKIFA HATA SASA HIVI NCHI ITALIPUKA KWA FURAHA KAMA GOLI LIKIFUNGWA DHIDI YA TIMU FLANI NA MVINYO KTK BAA NYINGI UTAGAWIWA BURE NYAMBAFU.
 
JUAN MANUEL, Unajua sababu ya Nyerere kuachia ngazi na kumpa Mwinyi madaraka? Tatizo watu weng mihemko na kutokumpenda mtu hii la makonda Ni dogo Sana lilo nyuma ya pazia kuna meng Sana.

Makonda Ni mdogo Sana kwa marekan Ila Kuna sababu kubwa Sana ya kwann wamempa ban kufika kule

Ila watanzania kwa sababu si wafuatiliaj wa mambo na sababu walizowek marekan mnazijua mkaunga dot pasina kufuatilia

Ila marekan wako kwa ajil ya maslah tu na Kuna sehemu wameguswa maslah yao tu ila wamepitia kwa makonda Kama njia ya kupitia kufika azima yao.

Na msipokuwa Makin mtaingizwa mahala kutoka kwake itachukua miaka kadhaa au tusitoke kabisa

Sio kwamba wanapenda muwe na urafiki wa china na ndio maaana juzi Kati wakatoa vifaa vya kijeshi kwa sababu wana Linda Aman vizur Congo( Kuna somo hapa)

Na msipoangalia mtafanywa base ya kijeshi hapa muda si mrefu muda utaongea tu

kilicho akilini kitumie
 
Back
Top Bottom