Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

black hawk87,
Mkuu ukijaliwa kuona wasivyo ona wengine ktk fikra, maandishi na matamshi unamshukuru Mungu sababu wachache wana kipaji au kipawa hicho.

Zama hizi ambazo wazungu wametengeneza teknolojia ambazo zitasaidia kueneza ajenda zao na tamaduni zao inakuwa ngumu sana kujinasua na wanachotaka uamini au ufuate.

Wanataka utende wanachotaka utende, uongee wanachotaka uongee, uishi wanavyotaka wao, yaani utumwa huu ni zaidi ya ule wa wakati wa ukoloni.

Enlightenment is gone long time ago.
 
Sasa km kkwete na mkapa waliwapiga chenga wkamsimamisha magufuli kuwa rais mbona sasa ccm wakiongzw na maguful na katibu wake wnamsema vbya jk??why??
 
Kama issue ni ushoga, basi hakuna nchi Afrika ya Mashariki ambayo inatesa mashoga kama Uganda. Kama shida ni Ushoga, kwanini Uganda haikuguswa?
Kwanza Republican hawashabikii ushoga hhivyo ni visingizio vya kishamba na kimaporiniporini
 
badison,
Hivi sheria zetu ni legevu kiasi cha kushindwa kushughulikia case kama hizo?, Huwezi ku justify extrajudicial killings zinazo fanywa awamu hii.
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Sasa mlisahau njia au ?
 
Pascal Mayalla,
Sawa, nendeni china na kwingineko sasa ilikuwaje mkaenda USa kuomba visa au mlikosea njia kwa bahati mbaya? japo mfukoni una sh100,000 na haina matumizi lkn mtu anapozuia kula chakula mbele ya kadamnasi ni aibu kubwa hata kama hela ya kula unayo.
 
Wafwate na wale makamanda wa polisi , mawaziri wa mambo ya ndani , IGP , na mzee baba mwenyewe...
Wote tupambane hapa hapa bongo dadadeq
Hasa huyu pro. wa jararani anahipendekeza mno.
 
Kweli mjuzi wa mambo ni mjuzi, kwa miaka minne tunahangaika na kupata utatuzi wa kuwafahamu "WASIOJULIKANA" bila mafanikio lakini kauli moja tuu ya Bwana Pompeo wa Marekani imetoa Jibu dhahiri na kuwajua kwa kumfahamu kubwalao.

Sasa tumeshatajiwa ni nani, tumepikiwa taarifa tule jee hilo nalo tunangoja tena tutafuniwe?

Tumeambiwa kashiriki kuzuia watu asiopenda kuishi ambao ni ndugu zetu, marafiki zetu na Watanzania wenzetu jee sie tunabaki kutumbua macho tuu nakusema kuwa tumuachie Mungu?

Kama taifa la watu makini hatupaswi kufumbia macho



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumuachie Mungu..... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
What’s going on? Since 1961, Tanzania has been ruled by the same party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). While it has never been a democracy, Tanzania had been better known as a safari tourism destination and as a donor darling. How have things become so repressive so quickly?

The answer lies in the 2015 election of John Magufuli as president. Since then, opposition politicians have been arrested, harassed and beaten. TV offices have been raided and newspapers suspended. Regime critics — journalists, business executives, oppositionpoliticians, student leaders — have been kidnapped, forced into exile or assassinated by “unknown assailants.” Some have never beenseen again. Much more violence outside Dar es Salaam hasn’t been reported, even in the Tanzanian press

Washington post

Jr[emoji769]
 
Hili neno wasiyojulikana linaniudhi,kama kwenye nchi serikali inasema kuna wasiyojulikana maana yake hata serikali yenyewe haipo salama,intelejensia zetu hazina uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…