Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
black hawk87,
Mkuu ukijaliwa kuona wasivyo ona wengine ktk fikra, maandishi na matamshi unamshukuru Mungu sababu wachache wana kipaji au kipawa hicho.
Zama hizi ambazo wazungu wametengeneza teknolojia ambazo zitasaidia kueneza ajenda zao na tamaduni zao inakuwa ngumu sana kujinasua na wanachotaka uamini au ufuate.
Wanataka utende wanachotaka utende, uongee wanachotaka uongee, uishi wanavyotaka wao, yaani utumwa huu ni zaidi ya ule wa wakati wa ukoloni.
Enlightenment is gone long time ago.