Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Mtanyooka tuu Nipo hapa Sweden nakula maisha tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Sweden uko kama "DIASPORA" au kama "MLOWEZI"? Niliwahi kuuliza swali hili humu JF kwa ujumla tu lakini sikupata jibu, labda wewe kama mhusika mkuu utaweza kunsaidia ili nielewe tofauti ya DIASPORA NA WALOWEZI. Asante and sorry if it is bothering or it will bother you or anybody else.
 
Diaspora
Vp kunatatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diaspora
Vp kunatatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo, ila nilitaka kujua tu, kwani kuna wengine wakitoka nchi nyingine siku hizi na kutaka kuingia Ulaya au USA wanaitwa wakimbizi au walowezi au wahamiaji haramu. Hapo ndio kwenye mkanganyiko, wengine Diaspora, wengine kama wahamiaji haramu, wengine wakimbizi, wengine walowezi basi shida moja kwa mbili. Hebu nisaidieni na hata wataalamu wa Kswahili pale BAKITA zungumzieni hili!
 
Hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.

Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia Afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Labda ni demokrasia pia unajua hizi democrasia ziko nyingi inategema wewe unachagua ipi?
 
Sasa kama kuna kitu unahitaji huko USA je akituma mtu amuchukulie nayeye atabanwa? Basi kama yeye kazuiliwa atume watu wamuchukulie vitu anavyohitaji.
 
Sasa kama kuna kitu unahitaji huko USA je akituma mtu amuchukulie nayeye atabanwa? Basi kama yeye kazuiliwa atume watu wamuchukulie vitu anavyohitaji.
Sawa Kikiwo, hivi kuna kitu gani kinapatikana USA pekee. Kila kitu kinapatikana popote. Waacheni wa USA wakae na USA yao. The world is every where siku hizi!
 
Sawa Kikiwo, hivi kuna kitu gani kinapatikana USA pekee. Kila kitu kinapatikana popote. Waacheni wa USA wakae na USA yao. The world is every where siku hizi!
Nchi ambayo kila mwanadamu angependa azuru pamoja na wewe ni Marekani, sema umasikini ndio kizingiti.

Unafahamu kwa mwaka moja wana-process Visa application ngapi, zaidi ya milioni 70, by far the largest in the world. Sasa unafikiri woote hao wanaoomba hiyo Visa ni wajinga kwa nini woote hao wasiombe ya Tanzania au Burundi.

Kama una thinking capacity ndogo ni vigumu sana kuelewa haya mambo. Viongozi wa kiserikali wanapopigwa BAN kuingia Marekani ina both political and economic implication mbaya sana na ndiyo maana mataifa wahanga wa hii sheria hulia sana, "They know how adverse it's implications are".
 
Mimi naona isiwe kuenguliwa tu, achunguzwe na vyombo ya usalama kisha apelekwe mahakamani.
Lkn pia ichunguzwe alikuwa anafanyaje uhalifu huo bila kuguswa na mamlaka yeyote?..

Kama kuna watu walikuwa wanakingia kifua wawajibishwe pia.
Mzizi wa tatizo upo ikulu, akina makonda ni matawi!....hilo hata Pompeo analijuwa na hajakosea kugusa matawi, target yake kubwa ni Magufuli.
 
UKWELI WA WAMAREKANI NDIO HUU WASIZUNGUKE MBUYU....BBC NDIO ISHASEMA
Wakumbuke kila nchi inatamaduni zake na mipaka yake ya uhuru.......


Mr Makonda has] also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals," a statement from the US state department said.

It also accused him of being involved in "gross violations of human rights, which include flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons".

When Mr Makonda - an ally of President Magufuli - launched the anti-gay surveillance force in 2018, he said that he expected international criticism for the move, but added: "I prefer to anger those countries than to anger God."

Homosexual acts are illegal in Tanzania and many gay, lesbian and transgender people are forced to hide their sexuality as a result.

Meanwhile, also on Friday the US added Tanzania to an expanded list of countries whose citizens are barred from obtaining certain types of immigration visas.

Related Topics
 
Makonda kills people!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…