Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Ndo hapo sasa mzee wa hapa job jiwe havumilii mzururajiAsa hivi amekuwa mzururaji sio RC Tena mkuu[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo sasa mzee wa hapa job jiwe havumilii mzururajiAsa hivi amekuwa mzururaji sio RC Tena mkuu[emoji23][emoji23]
Hivi unafahamu kuwa hapo kwenye "G" naye ni muhusika?Ukitaka kumuudhi muamerika wewe ingilia haki za masuala ya LGBT. Muamerika atakurarua kama simba! Ukitaka awe rafiki yako ongelea raha za kuwa:
L = Lesbian = wanawake kusagana wenyewe kwa wenyewe.
G = Gay = wanaume kuchomekeana wenyewe kwa wenyewe.
B = Bisexual = wasagaji (L) kufanyana na wachomekeanaji (G).
T = Transgender = kubadli jinsia ya Me kuwa ya Ke au ya Ke kuwa ya Me mahospitalini.
Makonda alifanya makosa makubwa sana kwenye hayo masuala. Akienda USA hao ma LGBT watamumaliza. Hivyo ban hiyo ni kwa usalama wake.
Yupi huyu karudi kwako koromije?Asa hivi amekuwa mzururaji sio RC Tena mkuu[emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mbali sana, makonda alikuwa akituma polisi wawakamate vijana ambao walionekana kuzunguka mjini (kwa kukosa kazi kwao) muda mwingi wanakuwa idle. aliwaita wazururaji, sasa ni wakati muafaka na yeye aone kama ni vizuri kuitwa mzururajiYupi huyu karudi kwako koromije?
HUYU NDIE ANAPASWA KUITWA GAIDI
Akamatwe Kwa mawiliUmenikumbusha mbali sana, makonda alikuwa akituma polisi wawakamate vijana ambao walionekana kuzunguka mjini (kwa kukosa kazi kwao) muda mwingi wanakuwa idle. aliwaita wazururaji, sasa ni wakati muafaka na yeye aone kama ni vizuri kuitwa mzururaji
Acha tu mkuuDuh mambo yanaenda kas San. ..
----
History check..
Nadhani ni mkuu wa mkoa wa kwanza kupata travel ban toka uhuru...
Sad news indeed
Jamaa ulikuwa unajitoa ufahamu [emoji1]Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!. Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
CoolKwani Ukizuiwa kuingia America utakosa Oxygen?
Marekan sio Peponi bana waache kujikweza
Kuna ma Billion ya Watu hawajafika America na hakuna cha maana wanakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]asingelia alivyonyimwa visa tarehe 20 december FYI KABLA alishaendaga huko akala bata akaturingishia na mapicha na kuna nyingine hii hapa,MABEBERU YANANIFURAHISHA SANA JINSI YANAVYOWALA VIBOGA MATAGA ,NA BADO TUKO PAMOJA NA MABEBERU HADI MWISHO WA MCHEZO
Jamaa atakuwa amekimbilia Rwanda, kweli cheo ni dhamana na hii ni funzo kwa vijana ukipewa madaraka heshim watu na tenda haki. Kujipendekeza hakufai.sasa hivi anatafutwa magazetini na vijijini huko
Rwanda ndo kimbilio la waloahindwa kuwaheshimu wenzao?Jamaa atakuwa amekimbilia Rwanda, kweli cheo ni dhamana na hii ni funzo kwa vijana ukipewa madaraka heshim watu na tenda haki. Kujipendekeza hakufai.
Haka kajamaa kanatisha sana, mjitaifa mkubwa km huo unamuongelea mwana kijiji wa Kolomije? hili taifa size yake Urusi, Iran, Ningekuwa mimi Makonda ningejidai sana, tena ningewalipizia nampiga mkwara huyo aliyetamka huo mkwala " kuwa na yeye asikanyage mkoa wangu wa Dar es salaam"
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app