Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Mungu atusamehe, huyu mchungaji aliye muombea mabaya Makonda hivi atabaki salama kweli? make alipanda uovu!
 
Hivi unafahamu kuwa hapo kwenye "G" naye ni muhusika?
Kama huelewi uliza ueleweshwe.
 
Umenikumbusha mbali sana, makonda alikuwa akituma polisi wawakamate vijana ambao walionekana kuzunguka mjini (kwa kukosa kazi kwao) muda mwingi wanakuwa idle. aliwaita wazururaji, sasa ni wakati muafaka na yeye aone kama ni vizuri kuitwa mzururaji
Akamatwe Kwa mawili
1. Uzururaji Hana KAZI mjini hapa
2. Tuhuma za UGAIDI anazoshutumiwa na marekani
 
Hapo kuna hitilafu. Hizi ni habari za zamani. Zilichelewa wapi? Kwa nini tunazipata leo.
Hizo ni habari mbaya( kwa Makonda) kwa sababu Pompeo alikuwa DG wa CIA kabla ya kuhamia Department of State.
 
Jamaa ulikuwa unajitoa ufahamu [emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 

Sasa hivi hata kutoka nje ya dar anaogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…