Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Utaki democrasia yao unauhakik na unachoongeahao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.
Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.
Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Nani asiyejua bashite ni chokoMimi huwa simpendi huyu Makonda.Ila kama wameamua kumzuia kwa sababu ya ile issue ya mashoga,Mimi nipo pamoja naye.Wabaki na nchi lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnapiga mayowe kunyimwa msaada wa elimu toka WB.?Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Marekani siyo kwa kwenda, kuna wabwia Sembe wa kutoshaHawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Kwenda kupandikiza.Kwan alianza kwenda lini au unawashwa washwa
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Pole sana, mimi niko huru ntazeekea katika nchi yangu, nyie nendeni na familia zenu mkashikwe makalio hukoNi mfano wa mbinguni ambapo hata ww unalilia kwenda na mchepuko wako kila siku sema huna nauli matokeo yake mnaishia Double view sinza.
Sikio la kufa halisikii dawa! Hawa watu hawajui madhara ya kauli zao. Hakyanani nikiona hawa mapunguani wanaendeleza maujinga yao nauza nyumba ya urithi natafuta nchi ya kuhamia Afrika mashariki hata Kenya. Marekani wakikuamulia hauwezi baki salama..na hawa jamaa hawajui diplomasia kabisa.Tumeshafika huko tuiombee sana nchi yetu tuvuke salama huu mwaka wa majaribu sana kwetu kama Taifa.
Rais Magufuli na Prof Kabudi wawe makini sana mwaka huu na kauli zao za mdomoni, la sivyo tutaifuta Zimbambwe iliko.
Zile kauli za kujimwambafai ziishe kabisa.
Yatakuwa maajabu ya 8 ya dunia yaani pompeo atumie muda wake kabisa aandike kuhusu bashite-utakuwa anafanya upumbavu wa karne na kujiaibisha.
tulia dawa ikuingie mwana Lumumba ,. Nahene[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ujinga mwingine bhana.. Hivi hamjifunzi hata kwa Kagame na Museven?
Nendeni kuandaa namna ya kushinda kwenye sanduku la kura achaneni na hizi kelele za mabeberu.
Wenzenu ccm muda huu wako field kuanda makombora ya kuwamaliza siku ya uchaguzi alafu mtakuja kulialia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
The message to the government is awesome. Hiyo ni kama sms. Yajayo.....Hapa wamempa umaarufu na mtaji mkubwa wa kisiasa Makonda.
Makonda sio waziri na kazi zake hazina umuhimu wa kwenda Marekani.
Hawezi kufa kwa kushindwa kuingia Marekani, kama ana fedha ataenda kutibiwa Ulaya au India na China, anaweza kuita madaktari bingwa toka Marekani na wakamhudumia hapa hapa Tanzania.
Zaidi ya 98% ya watanzania wanakufa kabla hawajatoka nje ya Tanzania kwenda Marekani au nchi jirani za EAC.
Kwa ivo unataka kusema kwamba wanaokwenda Marekani huwa wanakwenda kushikwa makalio?Pole sana, mimi niko huru ntazeekea katika nchi yangu, nyie nendeni na familia zenu mkashikwe makalio huko