Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Mbona mnapiga mayowe kunyimwa msaada wa elimu toka WB.?

Unawajua wachina wewe? Unadhani wanakopesha kama wapo vikoba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Marekani siyo kwa kwenda, kuna wabwia Sembe wa kutosha
 
Safari moja huanzisha nyingine
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshafika huko tuiombee sana nchi yetu tuvuke salama huu mwaka wa majaribu sana kwetu kama Taifa.

Rais Magufuli na Prof Kabudi wawe makini sana mwaka huu na kauli zao za mdomoni, la sivyo tutaifuta Zimbambwe iliko.

Zile kauli za kujimwambafai ziishe kabisa.
Sikio la kufa halisikii dawa! Hawa watu hawajui madhara ya kauli zao. Hakyanani nikiona hawa mapunguani wanaendeleza maujinga yao nauza nyumba ya urithi natafuta nchi ya kuhamia Afrika mashariki hata Kenya. Marekani wakikuamulia hauwezi baki salama..na hawa jamaa hawajui diplomasia kabisa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ujinga mwingine bhana.. Hivi hamjifunzi hata kwa Kagame na Museven?

Nendeni kuandaa namna ya kushinda kwenye sanduku la kura achaneni na hizi kelele za mabeberu.

Wenzenu ccm muda huu wako field kuanda makombora ya kuwamaliza siku ya uchaguzi alafu mtakuja kulialia tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
tulia dawa ikuingie mwana Lumumba ,. Nahene
 
Hapa wamempa umaarufu na mtaji mkubwa wa kisiasa Makonda.
Makonda sio waziri na kazi zake hazina umuhimu wa kwenda Marekani.

Hawezi kufa kwa kushindwa kuingia Marekani, kama ana fedha ataenda kutibiwa Ulaya au India na China, anaweza kuita madaktari bingwa toka Marekani na wakamhudumia hapa hapa Tanzania.
Zaidi ya 98% ya watanzania wanakufa kabla hawajatoka nje ya Tanzania kwenda Marekani au nchi jirani za EAC.
The message to the government is awesome. Hiyo ni kama sms. Yajayo.....
 
Natamani nihame Afrika niende zangu N.korea kwa Kim. maana Mia Afrika imejaa unafiki na majungu tu. Hii hii miafirika ndo ilimuua Muafrika mwenzao Gaddafi ili kuwafurahisha washenzi weupe. Leo hii walichoaminishwa watakipata hawajakipata na Wala hawana matumaini ya kukipata zaidi ya majuto tu.

Dhambi ya unafiki itaendelea kuwatafuna waafrika wengi Sana.
 
Back
Top Bottom