Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kila mtu anafahamu kwamaba konda aliwafanyia mabaya sana watu kipindi cha dubwana lile. Aliua, alitesa, alifinya watu mpaka akasababisha ruge akafa kwa presha baada ya kuvamia clouds na mitutu ya bunduki mpaka alimkosakosa lisu kumuua.

Sasa kule Arusha anastrugle sana kufuta makosa ila haiwesekani mana famu ni nzito sana inamlilia hasa wale waliopoteza maish kama akina ben saa nane.

Siku alipokufa jpm nilifurahi sana na siku hiyo nilikunya creti nzima ya bia.
 
Hapo anatamani damu, ila bado anapima upepo, kwanza anaendelea kuwazoesha wananchi kwamba ukatili sio jambo baya, ikishawqingia wananchi, ndipo anaanza kuteka na kuua
 
Kua na heshima kwa rais ajae
 
Una ushahidi ya uliyoyasema?
 
Waovu wote wa awamu ya 5 ya tano mwisho wao umekaribia.
 
Hata yeye hatoboi
 
Nyie wakina makala na januari mnateseka sanaa makonda hamumwezi hata mkiungana wote kikundi chenu Cha kifisadi hii nchi sio ya mama zenu
 
Mnamsema Makonda huku mkisahau CHADEMA walivyo tengeneza mazingira ya Kiuhasama na Ugaidi dhidi ya Taifa hili? Mbula.

Mazingira haya yanayo lelewa na CHADEMA hayata wapa kura.

CHADEMA ni Adui wa Taifa hili na Usalama wake wa Kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…