Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

USA si mwanachama wa ICC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wale tunaowaitaga mabeberu wamesikia kilio chetu sie waswahili wa buza na chato

Ndugu daudi albert bashite marekani uisahau kama ulivyosahau hilo jina langu mwisho wako mpakani mwa rwanda na tz marekani utaiona kwenye tv

Nimepokea kwa mikono miwili uamuzi nzuri wa marekani wa kumpiga block bwana daudi bashite maana ndie muhusika haswa wa uhalifu,ugaidi wa kisiasa,kutesa,kuteka raia,na kauli chafu,ufisadi,kushirikiana na magenge machafu ya madawa ya kulevya,ushoga,kutakatisha watu,kuua watu,kuteka watu kwa amri ya bwana mkubwa,nafurahi na nitasherehekea juu ya hili

Malipo ni hapa hapa duniani huu ni mwanzo tu utamu wa sinema unakuja the the stone jiandae kiama chako chaja

Marekani hoyeeeeeee
Pompeo hoyeeee

Nimefurahi sana hapa nagonga tu nyagi kudadeki

Usa baby[emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]in nyaningabu voice[emoji23]

Usa baby[emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]in nyaningabu voice[emoji23].....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wabariki Wazungu
Safi sana Leo wale tunaowaitaga mabeberu wamesikia kilio chetu sie waswahili wa buza na chato

Ndugu daudi albert bashite marekani uisahau kama ulivyosahau hilo jina langu mwisho wako mpakani mwa rwanda na tz marekani utaiona kwenye tv

Nimepokea kwa mikono miwili uamuzi nzuri wa marekani wa kumpiga block bwana daudi bashite maana ndie muhusika haswa wa uhalifu,ugaidi wa kisiasa,kutesa,kuteka raia,na kauli chafu,ufisadi,kushirikiana na magenge machafu ya madawa ya kulevya,ushoga,kutakatisha watu,kuua watu,kuteka watu kwa amri ya bwana mkubwa,nafurahi na nitasherehekea juu ya hili

Malipo ni hapa hapa duniani huu ni mwanzo tu utamu wa sinema unakuja the the stone jiandae kiama chako chaja

Marekani hoyeeeeeee
Pompeo hoyeeee

Nimefurahi sana hapa nagonga tu nyagi kudadeki

Usa baby[emoji631][emoji631][emoji631][emoji631]in nyaningabu voice
Safi sana USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manyunyu huanza kabla ya mvua kamili
 
Jf muwe mnaverify Brekingnews vingenevyo mnazua mtafuruku tuu kila mtu aje na ne breking yake si kuvurugana jamani? Yaani breaking news hata hamthibitishi?
 
Mpakwa mafuta kapigwa ban, mtoto wa pili sijui itakuwaje kumpata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The message to the government is awesome. Hiyo ni kama sms. Yajayo.....
Unafikiri kama kweli Makonda alikuwa anafanya hayo anayo tuhumiwa kwa niaba, waliokuwa nyuma yake hawjui nguvu za mabeberu?
Walijua haya na wapo tayari, wewe umewaona high profiles wanataibiwa hapa hapa nchini wao na ndugu zao, tena walikuwa tayari ndugu wafie nchini kuliko kwenda nje haijalishi India, China, Ulaya au Marekani.

Wewe hujiulizi kwanini huduma za afya zimeboreshwa sana hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…