Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Miaka ya sabini na themanini mwanzoni kulikuwa na shoga maarufu sana Dar es salaam akiitwa "Farouk" naye aliletwa na Marekani?Tunajua kelele nyingi sababu wamegusa yale mambo ya KY.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya sabini na themanini mwanzoni kulikuwa na shoga maarufu sana Dar es salaam akiitwa "Farouk" naye aliletwa na Marekani?Tunajua kelele nyingi sababu wamegusa yale mambo ya KY.
Najua si mwanachama,lakini wacha tuonyeshane makali,tutaelewana tulini ulisikia marekani yumo kwenye hiyo mahakama ya ICC wakat yeye si mwamachama?
Sent using Jamii Forums mobile app
USA si mwanachama wa ICC.Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Hahahaaaa bwashee uko unapata mbege!
Safi sana Leo wale tunaowaitaga mabeberu wamesikia kilio chetu sie waswahili wa buza na chatoMungu wabariki Wazungu
Manyunyu huanza kabla ya mvua kamiliNimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu
Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata
Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Mpakwa mafuta kapigwa ban, mtoto wa pili sijui itakuwaje kumpataKiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Hivi Makonda keshawahi hata kufika USA kweli?
Unahangaika na mjinga wa kazi gani mkuu😀
Huu ni urongo bwashee!
Unafikiri kama kweli Makonda alikuwa anafanya hayo anayo tuhumiwa kwa niaba, waliokuwa nyuma yake hawjui nguvu za mabeberu?The message to the government is awesome. Hiyo ni kama sms. Yajayo.....