Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Je Watanzania watakufa kwa kutoenda Marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuombe na tusali ili kifuatacho kiwe ni Drone
 
Nkrumah yalimkuta hivihivi, sababu ya kiburi chake nchi ilibanwa na marekani mpaka wanajeshi wakacheleweshewa mishahara wakampindua.
 
Si juzi tu mlikua mnapiga magoti mpewe ela au sio nyie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe huwa unafikiri kwa kutumia nini mkuu?? na usiseme ubongo

Tambua Hicho ni kionj'o tu kwa kuwekewa mchuvi mkononi uonje kama chumvi imetosha au iongezwe

Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.

Sasa wewe mswala ya Taifa unaleta mihemko ya kichama hapa

Vikwazo vikianza hapa tutako umia ni sisi CHAKATIMBE ambao katika maisha Bado tunajitafuta

Unasema China kwahiyo China ndiyo watakao kubali huo upuuzi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jamaa ni wanamikakati huwa hawakosei,wakiamua kukuangusha utaanguka tu,,ni suala la muda tu
 
Keng* kasoro mkia wewe badala ulaumu vibaraka wa mabeberu unalaumu selikali. Hivi unadhani hao viongozi wataumia au ni walala hoi kama wewe mtaumia

God save us
 
Usijali, jana wamelipa jeshi letu msaada wa kijeshi tena wametupatia vifaa vya kisasa
 
Tutamuunga mkono sisi wanyonge. Kwani wafanyabiashara gani wanamuunga mkono JPM?
Punguza basi ujinga. Unadhani kampeni na uchaguzi huitaji pesa eeh???

Samahani kwani una kiwango gani cha elimu?
 
Safi sasa saizi marekani mtakua mnaihika kuisikia tu kama pepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…