Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kenya tu hapo kuna maafisa kibao wamezuiwa kuingia marekani na wanaendelea kula maisha ndani ya Kenya,
Marekani siyo mbinguni kwamba usipoenda unakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria mbali zaidi usiwe mjinga Tanzania ilikua ni alama ya AMANI YA DUNIA Nyerere aliheshimika na Dunia kwa ujunzi wa Amani usawa na haki ya kujieleza nyinyi washamba toka Koromije mmekuja ichafua heshima ya Nchi hii ukisema Kenya kunaviongozi wamepigwa ban na wanaendelea kuvuruga huo ni ufhibitisho wa DIVISION ZÉRO mnazomiliki WAKOROMIJEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes nilisha wahi kwenda USA, si ni pale baada ya Ngulelo, Tengeru, then USA, baada ya hapo ni Maji ya Chai, then KIA.

Marekani kama nchi, sijawahi kufika, ila nimevaa sana material zao na kitamba cha Marekani.
P

Acha utani Mayalla watu wameumizwa. Makonda kaumiza wasio na hatia na yeye bila kuchukuliwa hatua zozote.
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Pasco nani aende China akaliwe na corona virus,
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Kwahiyo Bashite ndio kiongozi wa maana

Hahaha...huyo ndio Shetani Muuaji wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1342730
View attachment 1342609
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609

HIII N HAMIDA MWANAUKOME DAH
SHIKAMOO USA
 
Ni wakati nasisi kuonyesha uzalendo wetu kwa kumfukuza Balozi wao na kumpiga ban Trump, Pompeo na wamarekani wote kuja Tanzania..Waziri wetu nguli Prop Kabudi atoetamko haraka sana.

Tuna reserve ya hela za kutosha pale BOT, Taifa letu linajitoshereza wasitutishe hawa.
KUPATA VICHEKESHO KAMA HIVI ANDIKA NENO "" POROJO" KWENDA NAMBA 155668
 
We are in the right track. Shime watanzania! Serikali corrupt ndizo usifiwa na hawa jamaa.
===
H
ivi Saud Arabia ( mshirika mkubwa wa us) inatenda haki Yemen,?
hivi kutawanya waandanaji kwa mmabomu Baghdad wanaopinga uvamizi wa nchi yao unaofanywa na Marekani nihaki ya binadamu?
,kuikalia Syria kimabavu ni utawala bora wa kimarekani,?
kusababisha vurugu Venezuela ndiyo demokrasia hiyo?
, kujitoa kwenye mkataba wa amani wanyuklia na Iran ndiyo utii wa sheria na kuheshimu mikataba ya kimataifa, ?
kuziwekea vikwazo nchi huku Marekani ikijua vikwazo hivyo vinawaathiri wananch wakawaida wenye uhitaji ni haki,?
kutumia silaha zilizoiwa / za maangamizi kushambulia tawala za nchi zinazopingana nayo kisera ni sawa?

Nauliza , nipeni majibu!
Majibu unayo wewe mwenyewe.Usiulize maswali ambayo majibu tayari unayo,Kufanya hivyo madhara yake unayafahamu.

Yanayazungumzwa humu unayajua?
 
Kwan alianza kwenda lini au unawashwa washwa
Haya kwa akili zako kiduchu unafikili hapa ni Mchambawima Zanzibar?
Screenshot_20200201-063105_1580528025618.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli nimefarijika sana. Ukiristu unatufundisha upendo na kuvumiliana, mshenzi huyu huwa namuangalia anavyojipendekeza kwa viongozi wa dini kuficha maovu yake mwisho Marekani imemuanika peupeeee.
Mie naiomba Marekani iende mbali zaidi kama ilivyotumia ile Drones pale Iraki kwa Kassimu Suleiman watu dizaini ya Makonda. Na ninavyowapenda Marekani soon utasikia Uingereza,Ufaransa,Ujerumani na shoga yao Muisrael nae wanampa ban Bashite kukanyaga huko
Screenshot_20200201-063105_1580528025618.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom