Hawa wamarekani kwanza wamalize kesi ya rais wao mkora mwenye majivuno na dharau. Rais gani anapanga na nchi ya nje kumchafua kwa kashfa mtu anayetemewa atapambana naye kwenye uchaguzi.Four senior Kenyan government officials and a businessman have been permanently banned from travelling to the United States over allegations of trafficking narcotics, the U.S. ambassador to Kenya said on Tuesday.
Hahahaha Sasa jomba unamwambia Nani hapa..haya Mambo bend kamwambie Mwenyekiti wenu, labda anajua kulikoni...shenzzzz taipu mmemficha dereva kijanja ili asije waumbua..hahahaha...mnatafunana wenyewe halaf mnaisingizia serikali..wananchi tunaijua janja yenu..mtasubiri sanaWAUAJI WAKUBWA NYIEView attachment 1342814
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Ukiambiwa ukawa husikii utapigwa tuMarekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Madini yalishabebwa toka kabla hujazaliwa mpaka leo.
Huna akili wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za kijinga!!!! Daaa kweli kaz ipo ndio maana maswali ya EMPTY SET yalikuwa yananishinda sana sekondari, yaani mtu anashindwa tofautisha travel ban, ya USA, na ile ambayo eti rais amezui viongozi kusafiri nje, bila kibali(japo kila leo wa nasafiri)?Hongereni Marekani kwa kupaisha jina LA kijana wa KOLOMIJE mmemupandisha chati saana lakn pia mmemsaidia Rais maana hata yy alishawakataza kutosafiri mmemusaidia
Tena juzi Kenya wamegongelea na msumali kabisa, wamepitisha sheria ya kuruhusu ndoa za wake wengi, na kukataa ndoa ya jinsia moja. Yaani ushoga kwa kenya ni kosa la jinai, kisheria kabisa.Ndio kichaka mnachojifichia.
Kwanini isiwe Kenya?
AU wenzetu wao wameukubali USHOGA?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hao CIA ndio wamagundua kuwa Makonda ndio mvunjaji wa haki za binadamu huku???Usicho Kijuwa Pompeo kabla Ya Kuwa Waziri Alikuwa CIA Kijana Kaa Ukijuwa Marecan Hawakurupuki
Mpaka uone Wameamua Kuchukuwa Hatua It means wamefuatilia Sana
Au Unadhani Akili Zenu Zalumumba Ndio Akili Za Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app