Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Four senior Kenyan government officials and a businessman have been permanently banned from travelling to the United States over allegations of trafficking narcotics, the U.S. ambassador to Kenya said on Tuesday.
Hawa wamarekani kwanza wamalize kesi ya rais wao mkora mwenye majivuno na dharau. Rais gani anapanga na nchi ya nje kumchafua kwa kashfa mtu anayetemewa atapambana naye kwenye uchaguzi.
 
Hahahaha Sasa jomba unamwambia Nani hapa..haya Mambo bend kamwambie Mwenyekiti wenu, labda anajua kulikoni...shenzzzz taipu mmemficha dereva kijanja ili asije waumbua..hahahaha...mnatafunana wenyewe halaf mnaisingizia serikali..wananchi tunaijua janja yenu..mtasubiri sana
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?

Boss kwani huna jingine la kusema? Maana unatuchosha
 
Madini yalishabebwa toka kabla hujazaliwa mpaka leo.

Huna akili wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa tumepata mkali wa kuzuia yasibebwe tena, ni hodari na mpambanaji, amekata mirija yote ndio maana wamechanganyikiwa wanatafuta pa kushikilia, wamemsubiri huko kwao aende kuwaomba omba amegoma haendi.
 
Hongereni Marekani kwa kupaisha jina LA kijana wa KOLOMIJE mmemupandisha chati saana lakn pia mmemsaidia Rais maana hata yy alishawakataza kutosafiri mmemusaidia
Sifa za kijinga!!!! Daaa kweli kaz ipo ndio maana maswali ya EMPTY SET yalikuwa yananishinda sana sekondari, yaani mtu anashindwa tofautisha travel ban, ya USA, na ile ambayo eti rais amezui viongozi kusafiri nje, bila kibali(japo kila leo wa nasafiri)?
 
Wakitupiga vikwazo vya kiuchumi tumekwisha. Maana kwa sasa bila ya vikwazo hali ya uchumi ni mbaya, je wakitupiga vikwazo itakuwaje?
 
Maaamaaa eeeeh😂wana wivu na msambwanda siyo bure.......


Everyday is Saturday.............😎
 
Huu utawala umeua mengi sana, watu wengi wamepotea kwa visa tu .
 
Kama Ni kweli basi Marekani imekuwa Mbagala tu , Paul Makonda piga kazi usiogope hao wapumbavu
 
Usicho Kijuwa Pompeo kabla Ya Kuwa Waziri Alikuwa CIA Kijana Kaa Ukijuwa Marecan Hawakurupuki

Mpaka uone Wameamua Kuchukuwa Hatua It means wamefuatilia Sana

Au Unadhani Akili Zenu Zalumumba Ndio Akili Za Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hao CIA ndio wamagundua kuwa Makonda ndio mvunjaji wa haki za binadamu huku???

Unadhani haya madai Kama ni kweli wangeanza na mkuu wa mkoa??

Shirikisha akili yako tu kidogo mkuu.
 
Ok
tapatalk_1579361798462.jpeg
tapatalk_1578598866010.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom