Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hao US hawamjui vizuri makonda..mtu aliyeweza kuileta meli ya kijeshi ya china hapa tanzania.ngoja waone atakavyowashukia kama mwewe wamarekani waishio daslama
 
Kama wamarekani wamepiga marufuku viongozi wetu kwenda kwao na sisi tupige marufuku viongozi wao wasije Tanzania, hakuna namna
Kwa kweli huwezi kumjua mtu mpaka aongee.
Wewe umeandika nini rafiki yangu??

Hivi ulifikiri kabla ya kuandika ama ulikurupuka na kujiandikia tu??

CCM wanaonekana watu wa ajabu kwa maneno ya kipuuzi kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kabudi lazima amuite balozi wa US hapa bongo na atamfokea vya kutosha
 
"Gross violation of human rights", hapa watupe ufafanuzi
Lissu,Saa8,Azzory et al zinahusika?
 
Naunga mkono hoja, Tuanze kwanza kupiga ban yule Pompeo, Trump, Congress na Seneti wote na mwisho kabisa ifuate marufuku ya wananchi wote wa USA.
Tuwavue uraia na vibaraka wao wote pia.

Sisi Taifa huru wasitutishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…