Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
NCHI ZIPI HIZO ZA KWENDA???.Ukiwa blocked USA ina maana na washirika wa USA wanakuwa wameku block pia.
 
Hii hatua ilichelewa sana, hawa watu wa Majua watakuwa wanajua mambo mengi sana yaliyojificha sio bure.

Pompeo! Kuna mengi yanafuatia.

Mkuu amtumbue RC haraka ili kupunguza pressure kwa nchi.
 
Watz wanashangilia sababu ya matendo mabaya anayoyatenda makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili si jibu bado

Ukiweka maandishi yasiyohusiana na swali uliloulizwa ni kuonesha kutokuwa muelewa au kuwa mjinga wa kushindwa kujibu swali



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujielewi Ww Wamezuiwa Wa Tanzania wote Kwaajili Ya Upuuzi Wenu Mnae Kaa Kutetea Ujinga

Unakumbuka Alicho Fanya Makonda Clouds
Mbona Unatuchosha Kukumbusha Vitu Unavyo Vijuwa Unakumbuka Roma Alivyo Tekwa Alitoa Kauli Gani Atapatikana Siku Gani Na Akapatika Kweli

Watu Sio Wajinga Hasa Uongozi Wa American Sio Uongozi Wa Lumumba Note that

In short Kazuiwa Atatangatanga Hapa hapa Dsm
Kwahiyo hao CIA ndio wamagundua kuwa Makonda ndio mvunjaji wa haki za binadamu huku???

Unadhani haya madai Kama ni kweli wangeanza na mkuu wa mkoa??

Shirikisha akili yako tu kidogo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahaha...mkuu hebu wacha ulofa basi hata kwa dakika moja...duh!
Sio ulofa. Huyo ni mwanamme anaye disa. Mwanaume Rijali haofii kifo. Mashoga kama wewe ndiyo malofa. Utaachaje kuulinda utu wako na ule wa wananchi wako eti kwa sababu ya kuogopa kifo. Kifo ni kifo tu. Uanguke na ndege, upate ajali ya gari, ufe kwa sababu ya maradhi ya ukimwi au wakati unautetea utu wako. Kifo ni kifo tu.

Nikifa kwa ajili ya kutetea maslahi na utu wangu mbona ni thawabu kwa mungu. Kuna kifo kizuri kama hicho?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha,
Hivi unaongea kama upo Tz au unaishi Switzerland , Denmark
Mm sipingani naww kuhusu siasa wala Democrasia
Ninachopingana na ww ni kitendo cha Watanzania kuhitaji Mmarekani angilie kati kwa kuhisi Mmarekani ni babayao hivi et atawaonenea huruma.
Wakati hanaga historia ya hvyo wala hawezi kuja kupandikiza Tz hicho kirusi au kupigana na wa Tz ni Aibu kwake Izo biological techniques ni kwaajir ya nchi zinazotoshana naye , Nchi kama China hv n.k
What if ni kwamba Mmarekani anawaingilia katika vichwa hili Tuone Tanzania it's not self country tuanze kuuana wenyewe yeye akitufund msaada .

Wakati yeye akisign na kuingia kikataba.

Hebu jaribu kuuliza Mwanjeshi aliyeenda kulinda Amani congo, Libya muulize akupe jibu kama Mmarekani alishawai kuwa na historia ya Usamalia mwema au UN .
Kuna sehemu Wanajeshi wa Tz Walienda kulinda Amani wakaambiwa huruhusiwi kuumua Ghaidi Bila ruhusa, cha ajabu siraha walizonazo ndo the same na za maadui sasa jiulize hizo silaha kawapa nani na wako polini. Hebu Mtafute Mtu wa West Africa akupe story za huyo jam a a.
Huzioni Nchi nyingi zina mkataa, hivi Waingereza, Russia, Germany hawaoni Mpaka yeye tu ndo anaona sana?

We nye we hawaoni raha tunavyoishi pamoja as family ingawa ni different tribes na Religions do you think nje watu wanaishi hvyo. ?

They what kutufukunyua tuuane kidg?
Au unahisi Nyerere alivyo wakataa Alikuwa Mjinga Ur smart than him.

Ki2 unachokisahau kila effect itakayotokea in Tz Ur will affected direct or indirect


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mavi ya Bashite.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwajua wengine ni Hekima, kujijua mwenyewe ni maarifa makubwa. Hekima na maarifa ukivitenganisha ni sawa na kuwa na ulemavu wa viungo vya mwili kama mikono, miguu, macho, masikio nk.

Tanzania katika kushughulikia hili la kutengwa na Marekani, tutumie Hekima na Maarifa katika kufikia maamuzi. Tuwashirikishe wazee, viongozi wa Dini na Mataifa mengine marafiki katika kutupa ushauri.

Tusikurupuke na kuanza kushambulia. Tujitahidi kuandika kitu ambacho kinafaa kuandikwa.

Tukileta mashara yanaweza yakatukuta yaliyompata Libya kwa mataifa makubwa kugeuza Inchi yetu kuwa uwanja wa vita. Kwa Libya ilianza hivi hivi kama masihara baadaye ikawa kitu mbaya kabisa.

Ni kweli watu weupe hawafurahishwi na mikakati yetu mizuri ya Kiuchumi kwa sababu inawabana kuipora Tanzania raslimali zake.

Hii inawafanya kutafuta kisingizio cha kutuchokoza ili tuingie vitani. Kumbuka Vita ya Kagera, ile ilitengenezwa kwa sababu ya Sera za Mwalimu Nyerere kuzuia watu wa nje kupora Raslimali za Inchi hii. Tulipopigana na Uganda tuliadhirika sana kiuchumi na hadi leo majeraha hayo hayajapona kabisa.
 
zitto junior, Warwanda ni Smart on brain,
Kama ulishawai kukaa na kufanya kazi na Rwandanian hawawezi kufanya huu ujinga et kutoka kwenda Marekani kuomba Mmarekani walete Matatizo nchini kwao.

Hakuna dictecta kama Kagame halafu anauwa Bila kuficha ila they tries to solves their problems themselves instead ya kuwaalika Wageni do you know why?
Walishapata joto la jiwe 1994 they know ,
And they can't repeat the same mistakes.

US ni Aibu kupigana au kujibizana na Tz bali ni kupandikiza chuki tuuane sisi wenyewe , Don't be fool you guys ni sawa ukamwadisie Rafiki yako Matatizo ya mumeo / Mkeo atajifanya Mshauri ila akitoka hapo atatangaza Mtaa mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba pamewaka moto leo, bila shaka mlikesha na posho ya leo ni buku 20, mlivyochachamaa kwenye social media! Ila kuna kiongozi wenu mmoja alisema juzi tu hapa kuwa kauli za hovyo na vitisho za JPM ni namna tu ya kufanya siasa. Sasa kwanini msichukulie yanayoendelea upande wa pili pia ni namna yao ya kufanya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kingereza kinawasumbua watu wengi sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…